Napata wanawake tegemezi tuu, nakosea wapi?

Napata wanawake tegemezi tuu, nakosea wapi?

Aisee, hata mimi pia hali ni hiyo hiyo.. Nimekua na mahusiano na wanawake kadhaa wenye pesa lakini muda wote wananiomba mimi hela tuu, nashindwa kuelewa shida ni nini.? Wajuzi taf.
 
Kwanza kwenye mahusiano yenu mna mda gani?
Wewe umemsaidia kiasi gani mpk awe na imani na wewe ya kukusaidia? C rahisi mwanamke atoe hela yake hivihivi hata Kama ni kwa mpenzi wake especially muwe mna mda mfupi tangu mahusiano yenu yaanze...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom