komunisti
JF-Expert Member
- Jan 5, 2015
- 1,418
- 2,103
😂😂😂😂😂Sekondali
😂😂😂😂😂Sekondali
yeye atatoa nini?Sasa akishajiweza kiuchumi wewe kama mwanaume utamfanyia nini?
We toa hela tena toa hela sana.
Unataka mwanamke wa namna gani mkuu?Kwanza mm ndo nna gundu kabisaSijawai pata dem wa uhakika.
Unataka mwanamke wa namna gani mkuu?
Duh tangy nizaliwe napigwa nizinga tu no kusaidiwa hata 10
hahaha huyo huyo mtengeneze Mzee baba.Boss nahitaji wife material. Elimu kiasi, ajielewe. Yani Awe mama watoto wangu. Nadhani unaelewa mwanamke wa namna ipi anafaa kuwa wife
Tafuta mwenye kazii jombaaa hawa wengine kupee tuuDuh tangy nizaliwe napigwa nizinga tu no kusaidiwa hata 10
Ww je upo vizuri usije ukawa unataka mwanamke wa uhakika wakat ww co wa uhakikaBoss nahitaji wife material. Elimu kiasi, ajielewe. Yani Awe mama watoto wangu. Nadhani unaelewa mwanamke wa namna ipi anafaa kuwa wife
Kwani wewe unataka nini?yeye atatoa nini?
Shikamoo!hahaha huyo huyo mtengeneze Mzee baba.
ninavyo nivitakavyoKwani wewe unataka nini?
Marhaba...Shikamoo!
Sasa kumbe uliuliza swali la nini?ninavyo nivitakavyo
Unaona ehh hela zao zina ukakasi hata akikupa buku, yani hiyo buku ipo siku atakuja izungumzia tu mkizinguana, ni heri sisi tuwape tu kuliko sisi kutegemea chochote kutoka kwaoLazima upewe kwa msimangoo hasaaa
Daah hapa tupo wengi mkuu.Yess bossYani hata akishika mimba nasema OK. Sijawai kupata boss. Nna majanga balaaa. Sijui nakwama wapi. Kila nikipata mwanamke anakuwa kama DEMISS
Daah hapa tupo wengi mkuu.
Ndiyo hivyo mkuuNatamani sana ningepata mwanamke tegemezi anayewaza nilichompatia atakigawa vipi na kiitoshe familia kuliko huyo anaejiweza wallah naapa wanawake wengi hasa wale wenye viajira serikalini na kwenye mashirika binafsi wanatutesa sana sisi tulio jiajili hata kama unawazidi kipato lakin bado nimajanga tu, sitaki kumsikia mwanamke mwenye pesa hata kama namzidi