Napata hasira mno kila nikifuatilia siasa za Tanzania

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
15,773
Reaction score
35,993
Najuta mno kufatilia hizi siasa za Tanzania, Bora hata kipindi kile nikiwa nafatilia Yanga na Simba,
Ndo hivo tena Sasa siwezi kuacha kufatilia siasa

Yaani nakosa Raha mno na roho inauma mno

Tuachane na hizo Habari za kuhizunisha za kuuwa Watanganyika zaidi ya 10,000 ndani ya ardhi Yao na wengi wakiwa majumbani

Watanganyika masikini hawana wa kuwatetea wameuliwa kionevu na watu waliotakiwa kuwalinda
Hakuna hata muuaji 1 aliyekamatwa, kushitakiwa na kuwajibishwa

Haya Leo limeibuka la kuuzwa Kwa KIA airport Kwa Oman

Hivi kweli Watanganyika milion 60 tunashindwa kusimamia na kuendesha airport yetu hadi waje wageni

Hapo KIA airport tanzanite ya Mererani na mazao ya Wanyama na wanyama pori wanaenda kupanda ndege kupelekwa Uarabuni

Yaani Kia imilikiwe na Oman jamani 😭
Brela mnasajili Transom Tanzania Limited ili kukwapua Rasimali za Watanganyika?

JWTZ na TISS wajibika kulinda Rasimali zetu
Mnakula mshahara wa Nini?
 
Usikate tamaa.
Jipu limeiva hili, soon linatumbuliwa na Watz wote wataona future Tanzania

Kwa sasa. Watz wengi wamekataa tamaa na wanakosa hope yoyote
 
Zinaumiza mno
Wameiba uchaguzi
Wameuwa watu
Wamejiapisha kinguvu
Bunge halina meno
Mahakama ipo mfukoni Kwa mafisadi
Sasa wanauza KIA airport
Sisi Watanganyika ni maiti hatujielewi
Watanzania tuna maumivu makali sana kwa yaliyotokea. Hizi siasa sio kabisa.
 
Najuta mno kufatilia hizi siasa za Tanzania, Bora hata kipindi kile nikiwa nafatilia Yanga na Simba,
Ndo hivo tena Sasa siwezi kuacha kufatilia siasa

Yaani nakosa Raha mno na roho inauma mno

Tuachane na hizo Habari za kuhizunisha za kuuwa Watanganyika zaidi ya 10,000 ndani ya ardhi Yao na wengi wakiwa majumba

Watanganyika masikini hawana wa kuwatetea wameuliwa kionevu na watu waliotakiwa kuwalinda
Hakuna hata muuaji 1 aliyekamatwa, kushitakiwa na kuwajibishwa

Haya Leo limeibuka la kuuzwa Kwa KIA airport Kwa Oman

Hivi kweli Watanganyika milion 60 tunashindwa kusimamia na kuendesha airport yetu hadi wake wageni

Hapo KIA airport tanzanite ya Mererani na mazao ya Wanyama na wanyama pori wanaenda kupanda ndege kupelekwa Uarabuni

Yaani Kia imilikiwe na Oman jamani 😭
Brela mnasajili Transom Tanzania Limited ili kukwapua Rasimali za Watanganyika?

JWTZ na TISS wajibika kulinda Rasimali zetu
Mnakula mshahara wa Nini?
1765821286816.jpg
 
Pole Sana .

Politics is dirty game , and is not for heart fainted.
Hii nchi upumbavu umezidi
Shule hazina madawati, hospital hazina madawa, mabomba hayatoi maji na eti serikali ipo tu inatazama
 
Mkuu kma CCM na hao majambazi wakiendelea kwa mfumo huu…na hakuna njia ya kuwatoa kwa njia ya demokrasia, basi wajiandae na kundi la mfanano wa M23…ni swala la muda tu….ni timing bomb…na Bora hata ya Congo wanaiteka taratibu…uku kwetu wataiteka kwa kasi sana maana itapata support kubwa kutoka kwa wanajeshi maana kuna watakaoasi kuungana nao, wananchi wataona ni mashujaa na wakombozi…
 
Inasikitisha mno
Upumbavu umezidi
 
Usiumie ndg dawa ni kuuingia mchezo ubadili hiyo Hali. Hata Nyerere asingeamua maamuzi magumu asingefanya lolote angeishia kuumia km ww na Hali angeiacha hivyo.
 
Najuta mno kufatilia hizi siasa za Tanzania, Bora hata kipindi kile nikiwa nafatilia Yanga na Simba,
Ndo hivo tena Sasa siwezi kuacha kufatilia siasa

Yaani nakosa Raha mno na roho inauma mno

Tuachane na hizo Habari za kuhizunisha za kuuwa Watanganyika zaidi ya 10,000 ndani ya ardhi Yao na wengi wakiwa majumbani

Watanganyika masikini hawana wa kuwatetea wameuliwa kionevu na watu waliotakiwa kuwalinda
Hakuna hata muuaji 1 aliyekamatwa, kushitakiwa na kuwajibishwa

Haya Leo limeibuka la kuuzwa Kwa KIA airport Kwa Oman

Hivi kweli Watanganyika milion 60 tunashindwa kusimamia na kuendesha airport yetu hadi waje wageni

Hapo KIA airport tanzanite ya Mererani na mazao ya Wanyama na wanyama pori wanaenda kupanda ndege kupelekwa Uarabuni

Yaani Kia imilikiwe na Oman jamani 😭
Brela mnasajili Transom Tanzania Limited ili kukwapua Rasimali za Watanganyika?

JWTZ na TISS wajibika kulinda Rasimali zetu
Mnakula mshahara wa Nini?
Wengi. Huko peke Ako... Basi tu ndo hakuna namna tena.
 
Back
Top Bottom