Naota ndoto kila siku nipo na mdogo wangu aliyefariki

Mohammed wa 5

JF-Expert Member
Jun 20, 2022
1,215
2,995
Wakuu naomba ushauri wenu Mimi ni mtoto wa pili Kati ya familia ya watoto watano Nina miaka 29 miaka mitatu nyuma nilipata msiba wa mdog angu tuliyefuatana ambaye mpaka kifo chake kinatokea alikuwa Yuko kidato Cha nne kifo chake kilitokea ghalfa tu

Shida yangu Kila siku naota ndoto Niko pamoja nae kweny mazingira mapya tukiongea au tunaenda sehemu Fulani au tupo mazingira Fulani nakosa amani kabisa

Note siku anaaga dunia akiwa mikononi mwangu aliniambia Kaka naenda Ila nitakuwa nawe siku zote😭😣
 
Wakuu naomba ushauri wenu Mimi ni mtoto wa pili Kati ya familia ya watoto watano Nina miaka 29 miaka mitatu nyuma nilipata msiba wa mdog angu tuliyefuatana ambaye mpaka kifo chake kinatokea alikuwa Yuko kidato Cha nne kifo chake kilitokea ghalfa...😣
Pole sana,
 
Yaani nasikia hakuna bond kubwa kama ya blood brothers.

Na kama alikwambia ivyo huenda ndio njia ya kuwa na ww siku zote. Je wewe umeacha kumpenda?

Pili inatakiwa ukate ties na yeye kwa ibada maalum.

Mshaanza mawazo ya kishirikina
 
Yaani nasikia hakuna bond kubwa kama ya blood brothers.

Na kama alikwambia ivyo huenda ndio njia ya kuwa na ww siku zote. Je wewe umeacha kumpenda?

Pili inatakiwa ukate ties na yeye kwa ibada maalum.
Nimekuelewa mkuu tumemzika sio mbali na home Kuna muda natoka home naenda kuangalia kaburi lake then naenda kwenye mishe zangu
 
Wakuu naomba ushauri wenu Mimi ni mtoto wa pili Kati ya familia ya watoto watano Nina miaka 29 miaka mitatu nyuma nilipata msiba wa mdog angu tuliyefuatana ambaye mpaka kifo chake kinatokea alikuwa Yuko kidato Cha nne kifo chake kilitokea ghalfa...
What a blessing! Ni watu wachache mno wanaopatwa mikasa ya hivi....dumu ktk maombi...atakufungulia yasiyoonekana ktka ulimwengu huu wa kawaida, kutoka katika ulimwengu usioonekana!
 
Wakuu naomba ushauri wenu Mimi ni mtoto wa pili Kati ya familia ya watoto watano Nina miaka 29 miaka mitatu nyuma nilipata msiba wa mdog angu tuliyefuatana ambaye mpaka kifo chake kinatokea alikuwa Yuko kidato Cha nne kifo chake kilitokea ghalfa tu

Shida yangu Kila siku naota ndoto Niko pamoja nae kweny mazingira mapya tukiongea au tunaenda sehemu Fulani au tupo mazingira Fulani nakosa amani kabisa

Note siku anaaga dunia akiwa mikononi mwangu aliniambia Kaka naenda Ila nitakuwa nawe siku zote
Kwa mtazamo wangu, hilo lingekuwa jambo jema. Siwezi kuwa nae kimwili, hata ndotoni pia?
 
Wakuu naomba ushauri wenu Mimi ni mtoto wa pili Kati ya familia ya watoto watano Nina miaka 29 miaka mitatu nyuma nilipata msiba wa mdog angu tuliyefuatana ambaye mpaka kifo chake kinatokea alikuwa Yuko kidato Cha nne kifo chake kilitokea ghalfa tu

Shida yangu Kila siku naota ndoto Niko pamoja nae kweny mazingira mapya tukiongea au tunaenda sehemu Fulani au tupo mazingira Fulani nakosa amani kabisa

Note siku anaaga dunia akiwa mikononi mwangu aliniambia Kaka naenda Ila nitakuwa nawe siku zote
Neno lake la mwisho ndio linaishi na atakuja kuwa msaada mkubwa kwako kiroho huko mbeleni
 
Nimekuelewa mkuu tumemzika sio mbali na home Kuna muda natoka home naenda kuangalia kaburi lake then naenda kwenye mishe zangu
Unafanya jambo jema kwakua umeridhia mwenyewe Ila inawezekana mawazo yako juu yake ndio yanaileta taswira hiyo ukiwa umelala
Waone viongozi wa dini wakufanyie maombi ili kukufanya uwe free na hiyo hali
Pole sana mkuu Mungu azidi kukupa ulinzi na faraja yake
 
Hacha kumuwaza na kumufikiria hall hiyo itaisha taratibu sio ghafla maana ulimpenda sana.
 
Kifo chake ni vile vifo vinaitwa pre mature deaths,yaani kifo kabla ya wakati,mara nyingi watu wa namna hyo huwa hawaendi mahali pa nafsi za kupumzikia bali huwa wanakuepo tu maeneo yetu mpaka pale Watapoitwa na Mungu kwa wakati wake sahihi...Kauli yake wa mwisho ndiyo ina utata,labda alisema kwa utani tu ila ina maana kubwa.Ni wazi kuwa bado yupo na wewe kiroho na anajiskia vzr kuwa na wewe,japo si kawaida na si kwa namna ya kibinadamu.Inauma ila anatakiwa aende tu coz yeye ni mfu na wewe ni hai,hamuwezi kuwa pamoja,ingawa itamuuma sana.
 
Mkuu wala hizo ndoto hazina shida ni kwel huwa unakutana nae , ,ww ni zaid ya huo mwili wako mkuu
 
Back
Top Bottom