Mkuu I had the same case nilipokuwa mdogo mpaka Leo simtamani kumuona alienifanyia ingawa ni miaka 15, sikulelewa na wazazi wangu tokea 6 yrs na nilikua mbali nao, kama miaka 8 kupita, ukatokea msiba wa mtoto wa baba yangu mkubwa aliekuwa ananilea kipindi hicho, so tukasafirisha msiba back to home, tumemaliza so tukarudi home ( kwa wazazi wangu) hapo nina 13 yrs, tuliondoka ndugu wengi tukaja nyumbani, nilikua na furaha ya kuonana na ndugu zangu nilowaacha na wale walokuja kuzaliwa baadae. Wakapika home tunajiandaa kula chakula as a family,( mama na baba hawakuwepo) baba yangu mdogo alinivaa ghafla na kunichapa na waya mgongoni bila kosa akanifukuza nisile na chakula ( kumbuka hapo ni home ni Mara ya kwanza baada ya kutokuwepo miaka 8) kile kitu kiliniuma hadi kesho nilimchukia! Ninamchukia! Nitamchukia! Baada ya hapo sijawahi onana nae tena miaka kama 16 ivi, kipindi hiki chote nimejitajidi nimsamehe lakini roho inakuwa ngumu coz hajawahi nieleza, kwa nini alinichapa bila kosa, alininyima kula jasho LA wazazi wangu, angeniacha japo nizoee kidogo, why 1st time home anifanyie vile, hapendwi hadi na ndugu zangu kwa sasa! Hope kumsamehe hadi anicomfont ye mwenyewe, anijibu hayo maswali kwa ufasaha labda ninaweza nikamwelewa, otherwise tuonane patakapostahili!!!