Naondoaje vinyongo/hasira moyoni mwangu?

Its who you are, you can't change nature. Cha muhimu jaribu kujikubali kuwa upo hivyo na kusonga mbele. Hata mimi nipo hivyo, endapo mtu amenifanyia kitu kitakachoniumiza na nikaumia hasa huwa siwezi kusamehe na nitamfuata na kumwambia straight ulichonifanyia kimeniumiza na i will never forgive you.

Nikifanya hivi huwa na cool off sana then nampotezea milele. And i become better off.

Kwahyo mkuu, jaribu kujitathimini wewe upoje na una solve vipi matatizo yako then ndo ujue hilo swala unalichukuliaje.
 
my dear, forgiveness is to help you move on, muombe Mungu akusaidie...there was a person alinijaza hasira kipindi fulani nyuma, i was so pissed kiasi kwamba i was sure tukionana kutakuwa na chaos,i prayed for 3 good months imagine that, yani kila nikikumbuka yale matendo yaliyonikasirisha nasali hapo hapo,..3 months later, my heart was and still is free as a bird, the words dont hurt me nor anger me anymore, yani hata kukutana is not an issue
 
Ni kweli....some people enjoy seing others in pain....but all in all yatakwisha tu. AMEN.
 
Its who you are, you can't change nature. Cha muhimu jaribu kujikubali kuwa upo hivyo na kusonga mbele. Hata mimi nipo hivyo, endapo mtu amenifanyia kitu kitakachoniumiza na nikaumia hasa huwa siwezi kusamehe na nitamfuata na kumwambia straight ulichonifanyia kimeniumiza na i will never forgive you.

Nikifanya hivi huwa na cool off sana then nampotezea milele. And i become better off.

Kwahyo mkuu, jaribu kujitathimini wewe upoje na una solve vipi matatizo yako then ndo ujue hilo swala unalichukuliaje.

Exactly....ukimtamkia wazi unapumua....u let it out. Ila yasije yakawa makubwa zaidi....binafsi siko vizuri kwenye majibizano, mtu anaweza akayakoroga zaidi ukaishia mpasulia chupa kichwani. Best thing is just forgive nd be far from the person. Ntampa amani tu by keeping my distance.

Kuna siku nilimkunja akala sana makofi, akaja bwana ake na huyo cousin yangu kipindi hajaolewa akataka aanzishe timbwili nikamuambia asinijaribu nita muharibu yeye na huyo mwanamke wake na hawez nifanya chochote. Bdae nilijutia sanaa my actions. All im gana do is keep my distance nd let myself free. Im not a violent nd heartless person...nimeshauriwa vizuri sanaa humu na wengine wame inbox.

I'm thankful to everyone in here, im just gana let go nd keep my distance cz somethings ni shetani tu anataka niharibia.
 
Pole sana mkuu hata mimi kuna Mtu aliniumiza sana moyo wangu aisee yani moyoni nilikua naumia ka mtu kaniwekea kaa la moto ilinifanya hadi nishindwe kulala. Kikubwa nilichofanya kwanza ni kumtoa moyoni na kuchukulia kwamba ni challenge za maisha kunifundisha kitu. Nilikaa chini na kusali sana kwa Mungu aniondolee maumivu moyoni mwangu. Kweli tangia nimwombe Mungu kaniondelea maumivu nimemsamehe kwa dhati hadi yeye ndo huwa anajishtukia pamoja na ubaya wote sikuonyesha ubaya zaidi ya kumwambia ukweli mchungu then am free in my heart and mind.

I feel u dear.....kuna watu wanapenda kuona watu wengine in pain. I just fail to understand kwann wako hvyo...its as if wana majini yanawatuma. I have lost a lot of friends in my life sabab ya matumizi yao mabaya ya ulimi (kauli) na mwenendo wao wa maisha kiujumla.

Kipindi nikiwa in my early twenties nishawahi jiuliza ivi haya maisha ntaweza kweli ?? Asikuambie mtu hamna kitu kibaya nd very painful huku duniani kama usaliti (sio kimapenzi). Unaumia sana pale unapo salitiwa na mtu u thought was very dear to you. Acha tu dear....niliaambiwa nikiwa mtoto " Kua Uyaone".
 
Mkuu pole sana na tatizo la binadamu wengi ni kukosa huruma na kutojali hisia za wengine inavouma haswa. Yani hadi kuna kipindi unawaza vibaya kutenda ovu ila roho ya utu inakujia. Wakati yeye ndo anazidisha kukuumiza zaidi.
Yani hyo experience uliyo pitia hata mimi iliwahi nikuta it's so hurtful kwa kweli. Ila yote hayo huwa yanatokea kutufundisha maisha na kujua roho za binadamu zilivo kosa huruma na utu.
But hayo yote yalinifundisha kuwa strong. Let it go in ua heart kuwa na peace of mind na kuona ni jambo la kawaida kwa sababu maumivu yote yanaletwaga na close family members na friends. Ila kumwomba Mungu ndo best solution hakuna lisilowezwkana hasa ukimwomba akuondolee roho ya uchungu na maumivu ya moyo. Mungu akuponye maumivu yote ya moyo na akupe amani ipitayo yote.
 
Hii kitu mkuu kama huna roho wa Mungu aliyekukaa kweli kweli ni ngumu kuiondoa, roho wa Mungu ndo analeta hali ya kusamehe. Otherwise, ni ngumu sana asikwambie mtu. Mi huwa na opt kukaa kimyaa na kumwi-ignore basi. This is what I do always and it works for me
 
Mkuu pole sana na tatizo la binadamu wengi ni kukosa huruma na kutojali hisia za wengine inavouma haswa. Yani hadi kuna kipindi unawaza vibaya kutenda ovu ila roho ya utu inakujia. Wakati yeye ndo anazidisha kukuumiza zaidi.
Yani hyo experience uliyo pitia hata mimi iliwahi nikuta it's so hurtful kwa kweli. Ila yote hayo huwa yanatokea kutufundisha maisha na kujua roho za binadamu zilivo kosa huruma na utu.
But hayo yote yalinifundisha kuwa strong. Let it go in ua heart kuwa na peace of mind na kuona ni jambo la kawaida kwa sababu maumivu yote yanaletwaga na close family members na friends. Ila kumwomba Mungu ndo best solution hakuna lisilowezwkana hasa ukimwomba akuondolee roho ya uchungu na maumivu ya moyo. Mungu akuponye maumivu yote ya moyo na akupe amani ipitayo yote.

AMEN, Ur words are sweet and very touching. Nashukuru sanaa mpendwa. It means a lot.
 
Mkuu mi nnachoweza shauri Pray,unamuamini Mungu?PRAY ABOUT IT,growing up I had incidences with mama angu mzazi and I truly hated her hadi nilikua naandika kwny.diary Mungu anioneshe mama angu mana yule sikumuona kama mama,she was very brutal to me.for.reasons I have never comprehended hadi leo,beatings,comparing me na watoto wengine,never believed I would be somebody of help to her nk nk siwezi elezea the exact pain I went through,i loved my childhood coz of my dad alone,ananijali sana baba angu,I struggled sanaa,till today we are a family but I find I can't be open to her,analalamika kwa my.siblings me msiri,anyway all in all niliamuaga kuandika why I hate my mom and I prayed asking God to help me forgive her and kile kinyongo na hasira.kiishe,nmefanikiwa kwa kiasi kikubwa japo bado yaniii,
ts a struggle I make effort to overcome,
poleh sana,pia.js get busy with other aspects of ur life hatred isiku occupy
ni hayo tu
 
I feel u dear.....kuna watu wanapenda kuona watu wengine in pain. I just fail to understand kwann wako hvyo...its as if wana majini yanawatuma. I have lost a lot of friends in my life sabab ya matumizi yao mabaya ya ulimi (kauli) na mwenendo wao wa maisha kiujumla.

Kipindi nikiwa in my early twenties nishawahi jiuliza ivi haya maisha ntaweza kweli ?? Asikuambie mtu hamna kitu kibaya nd very painful huku duniani kama usaliti (sio kimapenzi). Unaumia sana pale unapo salitiwa na mtu u thought was very dear to you. Acha tu dear....niliaambiwa nikiwa mtoto " Kua Uyaone".

Pole sana mkuu umeandika kwa hisia sana. Nakuunga mmkono kwenye issue ya marafiji ni issue ngum sana. Marafiki wanaumiza sawasawa na ndugu, mimi mpaka sasa nimeamua kuwa na washkaji tu. marafiki wengi wamekaa ki faida zaidi, ukiwa nazo wapo ukiwa huna huwaoni.
 
Exactly....ukimtamkia wazi unapumua....u let it out. Ila yasije yakawa makubwa zaidi....binafsi siko vizuri kwenye majibizano, mtu anaweza akayakoroga zaidi ukaishia mpasulia chupa kichwani. Best thing is just forgive nd be far from the person. Ntampa amani tu by keeping my distance.

Kuna siku nilimkunja akala sana makofi, akaja bwana ake na huyo cousin yangu kipindi hajaolewa akataka aanzishe timbwili nikamuambia asinijaribu nita muharibu yeye na huyo mwanamke wake na hawez nifanya chochote. Bdae nilijutia sanaa my actions. All im gana do is keep my distance nd let myself free. Im not a violent nd heartless person...nimeshauriwa vizuri sanaa humu na wengine wame inbox.

I'm thankful to everyone in here, im just gana let go nd keep my distance cz somethings ni shetani tu anataka niharibia.

Goodluck senior boss.
 
Pole sana mkuu umeandika kwa hisia sana. Nakuunga mmkono kwenye issue ya marafiji ni issue ngum sana. Marafiki wanaumiza sawasawa na ndugu, mimi mpaka sasa nimeamua kuwa na washkaji tu. marafiki wengi wamekaa ki faida zaidi, ukiwa nazo wapo ukiwa huna huwaoni.

Acha tu...for the past 6 years nimejifunza kuweka akiba moyoni sio kila kitu cha kuongea na kueleza kila mtu...plus unahitaji intelligence flan ya ziada kujua tha type of people u dealin wit.
There are so called brothers nd sisters u call friends...wanacheka na kuongea na ww...in reality wanakutafuta tu, all they do is scheme and find a loophole in u wakumalize ufie mbali...jealousy nd envy is real in these streets trust me bro.

We subiri siku uje unusurike kumalizwa na mtu wako wa karibu ndio utakuja nielewa. Unabaki kujiuliza huyu mtu nimemkosea nn lakini atake kuniharibia hvi ?? (it becomes a wake up call). Kuna watu wakuda sanaa acha tu.

Some hate their lives sooo much all they want is project their negative energies off on others. Beware of such people.
 
Exactly....ukimtamkia wazi unapumua....u let it out. Ila yasije yakawa makubwa zaidi....binafsi siko vizuri kwenye majibizano, mtu anaweza akayakoroga zaidi ukaishia mpasulia chupa kichwani. Best thing is just forgive nd be far from the person. Ntampa amani tu by keeping my distance.

Senior Boss
don't keep distance if real you want to get out with the pain she caused! ndo maana ukikutana naye unatamani "kumkunja" kwa sababu ukimuona unarudisha those pain memories.
kwa Imani yako, ukiomba muombee nayeye awe mtu mwema kuliko kipindi kile, if possible mwambie nipo katika kuomba tuwe ndugu marafiki, let see her response, once is positive keeep it up!!

Kila siku sema just an example..... dada yangu (name) nimemsamehe na roho yangu ni nyeupe sina kinyongo naye tena, namtakia maisha mazuri na awe mwenye kauli njema kwa watu wengine, nami sitakuwa na aina yoyote ya chuki dhidi yake........, iwe ni sehemu ya maombi yako uyafanyao. (daily, weekly,Monthly etc, even four times a day)
Find the place that you can stay close or share with her stories, maisha na mahangaiko, family, mafanikio na challenge, ipo sehemu utaona anavyo ku-value, hiyo itapunguza kinyongo. Wapo watu wana vinyongo lakini wanao wafanyia wako positive nao, hivyo hawahitaji kuwa navyo, isije na wewe ukwa kwenye kundi hilo.

Its not simple as to cut your birthday cake and eat it!, needs time and unlimited sincerely prays and wishes, up the time your heart is free from pain caused. Kumbuka kujiombea na wewe kusamahe!!

My 50cnts
Swiper
 
Noted. I will starting today. #AmenToThat . #BarikiwaSanaa .
 
ahsante sn senior boss, hayo mambo ndo ss kama wachungaji tunayapenda. kwnz kabsa binadamu ana moyo wa kawaida sn ambao hauwez kubeba na kuvumilia hasira,chuki,makwazo,kutokusamehe nk, mpaka pale amemwamini mungu na kumpa nafasi ya kwnz ktk moyo wake. sasa hapo ww ndo mwenye tatzo na sio yeye, hivyo unahtj kusamehe bila kujali amefanya nini na kusahau ili ww uwe salama. na msamaha wako kwake ndo unaweza kuwa hata adhabu kwake kuliko ungemfanyia mabaya. na msamaha maana yake ni kuwa mkweli na muwaz kwa alyekukosea na kile alichofanya na kuachilia. MSAMEHE NA MUNGU ATAKUBARIKI KAMA VP NIPM
 
Mkuu mi nnachoweza shauri Pray,unamuamini Mungu?PRAY ABOUT IT,growing up I had incidences with mama angu mzazi and I truly hated her hadi nilikua naandika kwny.diary Mungu anioneshe mama angu mana yule sikumuona kama mama,she was very brutal to me.for.reasons I have never comprehended hadi leo,beatings,comparing me na watoto wengine,never believed I would be somebody of help to her nk nk siwezi elezea the exact pain I went through,i loved my childhood coz of my dad alone,ananijali sana baba angu,I struggled sanaa,till today we are a family but I find I can't be open to her,analalamika kwa my.siblings me msiri,anyway all in all niliamuaga kuandika why I hate my mom and I prayed asking God to help me forgive her and kile kinyongo na hasira.kiishe,nmefanikiwa kwa kiasi kikubwa japo bado yaniii,
ts a struggle I make effort to overcome,
poleh sana,pia.js get busy with other aspects of ur life hatred isiku occupy
ni hayo tu
i feel you..dah nilifikiri i was alone mwenye matatizo kama haya,mimi inatoka from my father baba yangu nae ivo ivo toka wadogo alikua harsh,brutal sasa iv tumekua wakubwa analalamika et sipo karibu nae wakati tulivokua wadogo alikua anafurahi tkimuogopa ikanifanya mimi nimuone like a stranger ambaye tunaishi pamoja...wazazi wetu wanakosea sana katika kulea bia kujua wanaona kama wao hawakua kama sisi na kututaka sisi tuwe perfect
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom