Bado tofauti ipo mkuu.
Mdogo wake Karume alitangaza nia(sio ndoto) hio na akaenda TZ akachukua fomu na akashindwa katika mchujo.
Mheshimiwa Zitto ameongelea kuhusu anayoota kuwa raisi siku moja.
wanadamu hatuna jema ni viumbe wazito sana, sioni tatizo hapo, mwenye tatizo na hizo ndoto za Zitto ana chuki binafsi.