Naona kama mke ananikwamisha

Naona kama mke ananikwamisha

ndandawamalenja

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
548
Reaction score
656
Miaka 15 iliyopita nilinunua kiwanja kwa shilingi milioni 4 nikaanza ujenzi wa nyumba kwa kuunga unga na nikahamia na familia nyumba ikiwa haijakamilika.

Namalizia kidogo kidogo huku nikiwa humo humo ndani. Miaka ya kati hapo nikapoteza channel kabisa, na sijaweza kumalizia hiyo nyumba, lengo ilikuwa kuweka madirisha ya alminium, mpaka sasa kuna grills na wavu tu.

Nyumba sio mbaya na finishing ilibaki madirisha tu. Nakadiria mpaka hapo imegharimu kama milioni 45 hivi. Ghafla tu miaka ya karibuni bei za viwanja na nyumba zimepanda sana huku kwetu, majirani zangu watatu ambao viwanja na nyumba zetu zinafanana wameuza kwa shilingi milioni 150, 160 na 180. Sasa mtu anataka kuninunua mimi kwa mil 150.

Kwa sababu nimepoteza channel nikawaza kupauza nianze upya kwa kununua nyumba mbili Mbezi Msumi, Msakuzi au Mpiji Magoe au hata Kibaha, moja ya kupangisha na moja ya kuishi, chenji nitumie kuanzisha biashara ya tyre service na kuosha magari kwa sababu naiwaziaga siku zote, kama chenji ikibaki nifungue na workshop ya carpentry na wife apate milioni 6 za biashara ya ndoto zake ambayo anaiwazaga miaka zaidi ya 8 sasa.

Tukaongea na wife tukakubaliana, hata yeye anaona tulivyopigika, wakati tumekalia ardhi ya bei mbaya ambayo hatuwezi hata kuindeleza. Sasa siku mteja amekuja kulipa tufanye hiyo biashara, nilikuwa nimetoka kidogo.

Nikafika nyumbani nikakuta mteja amefika kabla yangu na wife ameshamwambia tumeghairi hatupauzi tena!!! Nilitaka hata kulia. Na jamaa anasema ameshaghairi moja kwa moja anaogopa kununua nyumba yenye mgogoro.

Nilishakuwa na mipango kama milioni ya kujikwamua kutoka kwenye hili janga la umaskini sasa hivi naona giza tena. Na wife anasema tuendelee kutafakari kwanza kama miaka 2 hivi tukiona bado tunahitaji kuuza ndio tuuze!

HAPA NAANGALIA NAMNA YA KUFANYA ILI NIPATE HIYO HELA IKIWEZEKANA KWA KUACHANA NA HUYU MAMA TUGAWANE. Naamini nikipata milioni 80 naweza kujipanga upya, hili giza la kiuchumi limekuwa zito sana.
 
Mie naona mkeo ana akili kuliko wewe, samahani lakini, vuta miaka miwili ama minne ,unashangaa unapata wa kukupa 300-500M utashukuru wife ama unapata mchongo wa Mana zaidi unapata ugali. Unakuja uuza uzeeni kabisa huko kwa bilioni unatoa urithi kwa wanao na wewe unaoza vizuri huko Kijijini kwenu.
Kama huna hela unadhani
 
kuna watu wa ajabu kweli hii dunia,...unamshirikisha wife kwenye mambo yako,?🤔🤔❗ yani hapo wife alitakiwa aambiwe hapa tunaondoka na anaondoka bila kuuliza,... mwanamke atakushauri nn?📍📌 hayo ndo madhara ya kumuona mke ni mwenzako,....🚮
 
Yaani mwanamke unamshirikisha ishu hizo.
lazima ufeli nimemkubali sana yule.mbogamboga Pereira Ame Silima
 
Miaka 15 iliyopita nilinunua kiwanja kwa shilingi milioni 4 nikaanza ujenzi wa nyumba kwa kuunga unga na nikahamia na familia nyumba ikiwa haijakamilika. Namalizia kidogo kidogo huku nikiwa humo humo ndani. Miaka ya kati hapo nikapoteza channel kabisa, na sijaweza kumalizia hiyo nyumba, lengo ilikuwa kuweka madirisha ya alminium, mpaka sasa kuna grills na wavu tu. Nyumba sio mbaya na finishing ilibaki madirisha tu. Nakadiria mpaka hapo imegharimu kama milioni 45 hivi. Ghafla tu miaka ya karibuni bei za viwanja na nyumba zimepanda sana huku kwetu, majirani zangu watatu ambao viwanja na nyumba zetu zinafanana wameuza kwa shilingi milioni 150, 160 na 180. Sasa mtu anataka kuninunua mimi kwa mil 150. Kwa sababu nimepoteza channel nikawaza kupauza nianze upya kwa kununua nyumba mbili Mbezi Msumi, Msakuzi au Mpiji Magoe au hata Kibaha, moja ya kupangisha na moja ya kuishi, chenji nitumie kuanzisha biashara ya tyre service na kuosha magari kwa sababu naiwaziaga siku zote, kama chenji ikibaki nifungue na workshop ya carpentry na wife apate milioni 6 za biashara ya ndoto zake ambayo anaiwazaga miaka zaidi ya 8 sasa. Tukaongea na wife tukakubaliana, hata yeye anaona tulivyopigika, wakati tumekalia ardhi ya bei mbaya ambayo hatuwezi hata kuindeleza. Sasa siku mteja amekuja kulipa tufanye hiyo biashara, nilikuwa nimetoka kidogo. Nikafika nyumbani nikakuta mteja amefika kabla yangu na wife ameshamwambia tumeghairi hatupauzi tena!!! Nilitaka hata kulia. Na jamaa anasema ameshaghairi moja kwa moja anaogopa kununua nyumba yenye mgogoro. Nilishakuwa na mipango kama milioni ya kujikwamua kutoka kwenye hili janga la umaskini sasa hivi naona giza tena. Na wife anasema tuendelee kutafakari kwanza kama miaka 2 hivi tukiona bado tunahitaji kuuza ndio tuuze! HAPA NAANGALIA NAMNA YA KUFANYA ILI NIPATE HIYO HELA IKIWEZEKANA KWA KUACHANA NA HUYU MAMA TUGAWANE. Naamini nikipata milioni 80 naweza kujipanga upya, hili giza la kiuchumi limekuwa zito sana.
dah pole sana,kuna wanawake ni wapumbavu sana
 
Huyo ndio anafaa kuwa mke sasa, sio wale wa ndio Mzee ndio Mzee😂😂😂.

Hiyo M80 unaiona nyingi kwa kuitaja ila ikiingia mkononi mwako kama utakua huna plan nzuri itapotea kinamna ya ajabu hadi ushindwe kuamini ni nini kimetokea.

Ingawa watu husema kimfaacho mtu chake ila mkeo nae atakua anahoja ya msingi, so kaeni tena chini muongee kwa maana kitendo cha kusema mjipe miaka miwili ya kujiuliza hii inaonesha bado anaamini unaweza ukapata vyanzo vingine vya utafutaji ndani ya muda huo.

Na kingine kama wewe ndio ulikua mchezaji wa hiyo team basi inabidi na yeye aingie ndani ili muwe mnacheza wote kwa maana yeye akienda kulia nenda kushoto jioni muweke vitu mezani.

NB: kwenye maisha ya utafutaji hautakiwi kujiona unayo plan B kwa maana itakurudisha nyuma kinamna fulani katika harakati zako na hufanya hata akili isione chochote zaidi ya hiyo plan B iliyopo, jiulize kama usingekua na hiyo nyumba unhewaza kufanya nini sasa hivi?

Njia zilizokua zinakupatia pesa hadi ukanunua kiwanja na kujenga hiyo nyumba sasa hivi zimegoma kiasi cha kufanya utamani kuuza hiyo nyumba ili uwekeze sehemu nyingine, unauhakika baada ya kufanya hivyo pesa itaanza kupatikana tena?

Pesa ni zawadi lakini pia pesa ni roho, ukipita kwenye njia zake utaikamata ila ukiwa mbali na njia zake utapishana nayo, yawezekana wewe unahisi shida yako ni mtaji lakini kumbe wala hiyo sio shida yako.

Ndio maana unaweza ukapata huo mtaji ila bado ukaendelea kuteseka na kuchanganyikiwa kisa biashara haiendi ila hasara tu ndio zinazoongozana.

Sasa tumia huo muda ambao mkeo amekupa ili muweze kujiuliza kwa pamoja.
 
Miaka 15 iliyopita nilinunua kiwanja kwa shilingi milioni 4 nikaanza ujenzi wa nyumba kwa kuunga unga na nikahamia na familia nyumba ikiwa haijakamilika. Namalizia kidogo kidogo huku nikiwa humo humo ndani. Miaka ya kati hapo nikapoteza channel kabisa, na sijaweza kumalizia hiyo nyumba, lengo ilikuwa kuweka madirisha ya alminium, mpaka sasa kuna grills na wavu tu. Nyumba sio mbaya na finishing ilibaki madirisha tu. Nakadiria mpaka hapo imegharimu kama milioni 45 hivi. Ghafla tu miaka ya karibuni bei za viwanja na nyumba zimepanda sana huku kwetu, majirani zangu watatu ambao viwanja na nyumba zetu zinafanana wameuza kwa shilingi milioni 150, 160 na 180. Sasa mtu anataka kuninunua mimi kwa mil 150. Kwa sababu nimepoteza channel nikawaza kupauza nianze upya kwa kununua nyumba mbili Mbezi Msumi, Msakuzi au Mpiji Magoe au hata Kibaha, moja ya kupangisha na moja ya kuishi, chenji nitumie kuanzisha biashara ya tyre service na kuosha magari kwa sababu naiwaziaga siku zote, kama chenji ikibaki nifungue na workshop ya carpentry na wife apate milioni 6 za biashara ya ndoto zake ambayo anaiwazaga miaka zaidi ya 8 sasa. Tukaongea na wife tukakubaliana, hata yeye anaona tulivyopigika, wakati tumekalia ardhi ya bei mbaya ambayo hatuwezi hata kuindeleza. Sasa siku mteja amekuja kulipa tufanye hiyo biashara, nilikuwa nimetoka kidogo. Nikafika nyumbani nikakuta mteja amefika kabla yangu na wife ameshamwambia tumeghairi hatupauzi tena!!! Nilitaka hata kulia. Na jamaa anasema ameshaghairi moja kwa moja anaogopa kununua nyumba yenye mgogoro. Nilishakuwa na mipango kama milioni ya kujikwamua kutoka kwenye hili janga la umaskini sasa hivi naona giza tena. Na wife anasema tuendelee kutafakari kwanza kama miaka 2 hivi tukiona bado tunahitaji kuuza ndio tuuze! HAPA NAANGALIA NAMNA YA KUFANYA ILI NIPATE HIYO HELA IKIWEZEKANA KWA KUACHANA NA HUYU MAMA TUGAWANE. Naamini nikipata milioni 80 naweza kujipanga upya, hili giza la kiuchumi limekuwa zito sana.
Chukua mkopo Kisha mterekeze humo ndani mpaka papigwe mnadani yeye atafute pakwenda maana amepanga kukukomoa na kukutesa Kwa makusudi
 
Back
Top Bottom