- Thread starter
- #121
AminaVp ushaingia home ...vp mambo umekutaje huko....nakuombea Mungu akupe means za ku survive.
AminaVp ushaingia home ...vp mambo umekutaje huko....nakuombea Mungu akupe means za ku survive.
Yani ww!!Toka zamani ukioa Kama huyajui au uwezo huna mke alikuwa akijifungulia kwa wazazi wake kuna wakunga wa jadi kwenye koo waweza handle complications zingine kuliko madaktari bingwa waliosoma marekani kwa Trump. Huyo mwanamke asije kufia mikononi wapelekee waliomzaa
AminaDah sometimes mtu unawezajiona unashida kuliko kiumbe chochote hapa duniani,lakini ukikutana na mwenye shida unajiona huna shida.
Hapa ndio unapo aply rule msemo usemao''Ukitaks kumshukuru Mungu wako basi muangalie aliechini yako" ...Pole sana mkuu yatakwisha.
Gari lako ni aina gani na unaliuza shilingi ngapi?Wakuu poleni na majukumu,
Nina umri wa miaka 34, mke na mtoto mmoja, nimepambana kweli kweli miaka 4 nyuma nimejenga kijijini kwetu nimenunua kiwanja pembeni kidogo ya mjini, nimemsomesha mke wangu kamaliza mwaka Jana, miaka 2 nyuma niliona mambo sio mabaya nikavuta kausafiri ka kunisaidia hapa na pale.
MATATIZO YANAANZA. Mwaka Jana nilibadilisha kituo kipya (sekta binafsi) kwa ahadi ya mshahara mkubwa. Dah mambo yakawa sio mambo mshahara ukawa hutoki mpaka miezi 3 hafu tunapewa nusunusu kumbuka hapo wife ameshakuwa mjamzito mimba inamsumbua kweli, mtoto anasoma na nadaiwa kodi ya nyumba. Ilinilazimu kuacha kazi baada ya kuvutana sana basi sikulipwa mishahara miezi mitatu katikati ya mwezi wa 5 nikapata kazi sehemu nyingine japo kwa mshahara mdogo nikalipwa mshahara nusu kwa vile nilianza katikati.
MAAJABU MENGINE HUKU. Leo in trh 4 July hatujalipwa mshahara wa June ninapoandika Uzi huu nimekaa jirani na nyumbani nafikiria nitaingiaje nyumbani kwa mke wangu, anaweza kujifungua muda wowote kuanzia sasa na ana complications, Jana ni kama vile tulilala njaa, leo mama na mtoto sijui wamekula nini, shule zimefunguliwa sina ada ya mtoto, mwenye nyumbani anadai kodi tena atakuwa ananisubiri nyumbani, nimejaribu kuuza gari na kiwanja lakini hakuna wateja. Nina mawazo sana ndugu zangu, ninachoogopa zaidi ni huyu mama mjamzito.
Ushauri wenu na sala zenu.
Huko kwao atakula pumba na kupewa huduma za kukifungulia bure? Ushauri mwingine unakua ni sawa na mumuongezea mwenzio tatizoMpeleke kwao akajifungulie kwao
Mkuu inamaana haukusoma kuwa kampuni yake mpaka Jana tarehe 4 ilikuwa haijalipa wafanyakazi mishahara ya june? Sasa unahisi wanaweza kumkopesha fedha nyingi?Mkuu huyo jamaa tunajua akili zake mpuuzie!!
Kwa sababu una gari na kiwanja kwanin usitangaze humu jf ili uuze??
Pia kama unaweza waambie wafanyakaz wenzako na kama ikiwezekana m-face boss wako mwambie hali halisi ili akiweza akupe pesa mkatane kwenye mshahara!!
Labda nikuulize...kazini hamna bima ya afya?? Kwanin usiitumie kwa ajili ya matibabu ya wife??
Pole sana mkuu!! Mungu akupe wepesi!!
Nimesoma mkuu!! Sio kampun...na hata kama kampun haina pesa boss anaweza msaidia!! Sizan kama ana uwezo atashindwa mkuu!Mkuu inamaana haukusoma kuwa kampuni yake mpaka Jana tarehe 4 ilikuwa haijalipa wafanyakazi mishahara ya june? Sasa unahisi wanaweza kumkopesha fedha nyingi?