Papaa Kinyani
JF-Expert Member
- Feb 25, 2013
- 1,457
- 699
Mbona hukujibu? Upo makini kweli? Hiyo gari ni aina gani? Bei gani? Na kiwanja kipo wapi? Ukubwa gani? Bei gani? Utasaidiwaje sasa kama hutaki kujibu?
Ok let me try..[Mambo][Joseverest]like thisUmeingia kwenye huo uzi? Kama ni kwenye app unaanza na [ B ] halafu maneno unayotaka kuandika ndio yafuate lakini hiyo B uibanishe kwenye mfumo huu [A] sio kama nilivyoacha hapo space kidogo
Anyway ntaendelea kujitahjd tu usjaliAs/aleykum
HEY..IKOJEAnyway ntaendelea kujitahjd tu usjali
Yes Mr.Jose I won..ahsante asee.HEY..IKOJE
Kwani mnashinda njaa mkuu? Hiyo pesa ya mafuta ya gari save kiasi kwa ajili ya mkeo atakapojifungua,gari paki panda public transport kwenda kazini. Ukiona mambo bado magumu uza hiyo gari kwakuwa ni likability inakamua pesa. Kiwanja usikimbilie kuuza fanya mpango wa kukijenga hata nyumba ya vyumba vitatu uishi kwako na mkeoWakuu poleni na majukumu,
Nina umri wa miaka 34, mke na mtoto mmoja, nimepambana kweli kweli miaka 4 nyuma nimejenga kijijini kwetu nimenunua kiwanja pembeni kidogo ya mjini, nimemsomesha mke wangu kamaliza mwaka Jana, miaka 2 nyuma niliona mambo sio mabaya nikavuta kausafiri ka kunisaidia hapa na pale.
MATATIZO YANAANZA. Mwaka Jana nilibadilisha kituo kipya (sekta binafsi) kwa ahadi ya mshahara mkubwa. Dah mambo yakawa sio mambo mshahara ukawa hutoki mpaka miezi 3 hafu tunapewa nusunusu kumbuka hapo wife ameshakuwa mjamzito mimba inamsumbua kweli, mtoto anasoma na nadaiwa kodi ya nyumba. Ilinilazimu kuacha kazi baada ya kuvutana sana basi sikulipwa mishahara miezi mitatu katikati ya mwezi wa 5 nikapata kazi sehemu nyingine japo kwa mshahara mdogo nikalipwa mshahara nusu kwa vile nilianza katikati.
MAAJABU MENGINE HUKU. Leo in trh 4 July hatujalipwa mshahara wa June ninapoandika Uzi huu nimekaa jirani na nyumbani nafikiria nitaingiaje nyumbani kwa mke wangu, anaweza kujifungua muda wowote kuanzia sasa na ana complications, Jana ni kama vile tulilala njaa, leo mama na mtoto sijui wamekula nini, shule zimefunguliwa sina ada ya mtoto, mwenye nyumbani anadai kodi tena atakuwa ananisubiri nyumbani, nimejaribu kuuza gari na kiwanja lakini hakuna wateja. Nina mawazo sana ndugu zangu, ninachoogopa zaidi ni huyu mama mjamzito.
Ushauri wenu na sala zenu.
Hapo umepatia [emoji115][emoji115][emoji115] Hapa ulikosea [emoji116][emoji116][emoji116]Yes Mr.Jose I won..ahsante asee.
Ok let me try..[Mambo][Joseverest]like this
ndo maana ulifeli mtihani ya ufahamu;pitia sms yake upya utamwelewaUmemuona akilia?
*mtihani ya ufahamu = mitihani ya ufahamu.ndo maana ulifeli mtihani ya ufahamu;pitia sms yake upya utamwelewa
Mahusiano yako na ndugu zako yakoje? Kama mnaelewana kamwe hawatakuacha upate shida zote hizi peke yako. Ongea nao waeleze hali halisi wakusaidie kuvuka kipindi kigumu.
Dar.gari raum.kiwanja kiko bunjuMbona hukujibu? Upo makini kweli? Hiyo gari ni aina gani? Bei gani? Na kiwanja kipo wapi? Ukubwa gani? Bei gani? Utasaidiwaje sasa kama hutaki kujibu?