Naona kama dunia nzima imeniangukia

Naona kama dunia nzima imeniangukia

Pole sana ila jumapili usisahau kumshirikisha Mchungaji wako naamini atapitisha mchango endapo akikataa basi hama dhehebu
 
Naona kila mmoja ni pole tu
Basi na mimi nasema mwanaume hujikwaa na kuinuka.
Wengi naona wamelizwa humu na imani imepungua
 
pole saaana, ni mapito tu hayo..

Kamuone muajiri wako usimfiche kitu, mpe ukweli wako, muombe salary adv ya hata miezi 6 - sijui unalipwaje...

Ukifanikiwa,.. Uza gari pia maana ni luxury kwako kwa sasa, sijui aina ya gari na gharama yake...

Hela ya mauzo ya gari anzisha biashara isiyo na risk itakayokupa faida ya tsh10000/day..

Sijui unakaa nyumba ya namna gani ila tafuta ya kodi ndogo ya hapo, chumba na sebule tu vinakutosha..

Mama InshaAllah akishajifungua hakikisha anazalisha na yeye sio kukaa nyumbani tu, ikiwezekana kwenye hiyo biashara hapo juu yeye ndio akamate usukani..
 
Mkuu vipi mahusiano yenu na ndugu wa pande zote mbili..maana hao wanaweza kuwa msaada usifiche shida kwanza..pole sana
 
Hayo ni mapito tuu, japo siyo yakushangaza sana na wala sio maKubwa sana
 
Back
Top Bottom