Naona kama dunia nzima imeniangukia

Naona kama dunia nzima imeniangukia

kalikopee hilo gari kama haliuziki au kiwanja
 
Kwanza pole sana mkuu.

Pili usikate tamaa, Mungu yupo na atakusaidia. Mkuu hyo hali ni ya kawaida sana, na cha zaidi katika imani flani ivi ni kwamba mwanaume hupata wakati mgumu sana kiuchumi kipindi ambacho mke wake ana mimba(sina uhakika sana na imani hyo) . Ila mimi ni shuhuda wa hali hyo, na imenitokea mwaka huu huu, hivyo kwa kiasi flani imenithibitishia.

Cha muhimu kuwa na imani kwani hali hyo itaisha ghafla bila kutegemea. Sio vibaya kuuza vitu ila nakushauri kama unaweza jitahidi usiuze chochote, naamini shemeji akijifungua tuu. Mambo yatakuwa nafuu.
Amina
 
Pole sana jamaa, mimi navyoona usiuze Gari. Uza Kiwanja. Kitangaze Fb. Tungekuwa tunaaminiana humu tungepeana namba, lakini kwakweli huwa hatuaminiani.

Nimeshauri uuze kiwanja badala ya Gari. Hii ni kwasababu Gari itakusaidia mizunguko ikiwemo kumpeleka mkeo hospitali. Kiwanja utanunua Kingine bali ikitengemaa.
Auze kiwanja aache Gari!!!Kiwanja kinapanda thamani,Gari linaporomoka thamani.
 
Kwanza pole sana mkuu.

Pili usikate tamaa, Mungu yupo na atakusaidia. Mkuu hyo hali ni ya kawaida sana, na cha zaidi katika imani flani ivi ni kwamba mwanaume hupata wakati mgumu sana kiuchumi kipindi ambacho mke wake ana mimba(sina uhakika sana na imani hyo) . Ila mimi ni shuhuda wa hali hyo, na imenitokea mwaka huu huu, hivyo kwa kiasi flani imenithibitishia.

Cha muhimu kuwa na imani kwani hali hyo itaisha ghafla bila kutegemea. Sio vibaya kuuza vitu ila nakushauri kama unaweza jitahidi usiuze chochote, naamini shemeji akijifungua tuu. Mambo yatakuwa nafuu.
Nimekuelewa badsome.ila dunia inachoma moto sana
 
Asante kwa busara zako mkuu.nianze na gari ni raumu namba DAM nikipata 7.5m saws tu.nitafanye sasa.kuhusu bima sector binafsi hazijali hivyo sina.nitajaribu kuongea na bosi wangu japo no mtata sanaaaa
Sector binafsi mkuu wana Bima mbona,pole sana Mungu ni mwema utashinda ila uza kimojawapo kati ya Gari ama kiwanja
 
Huko kwao hospitali hazipo? Wapelekee wenye mtoto wao waliomzaa asije kufia mikononi mwako Na ulofa wako. Asikufie mikononi warudishie waliomzaa na ueleze wazi kuwa ana complications na wewe sio mkunga wala doctor na pesa huna
Kirahisi hivyo.?baki na mke wako.sisi tumekuuzia.
 
shida hazijawahi kumuacha mtu salama......pole sana mzee mwenzangu....mwenyezi Mungu akupe wepesi akutatulie shida zako.
 
Sijaona asee..ama sim yangu toleo la kale nini?? natumia JF app sim aina ya Sumsang J1.20
Umeingia kwenye huo uzi? Kama ni kwenye app unaanza na [ B ] halafu maneno unayotaka kuandika ndio yafuate lakini hiyo B uibanishe kwenye mfumo huu [A] sio kama nilivyoacha hapo space kidogo
 
Umeingia kwenye huo uzi? Kama ni kwenye app unaanza na [ B ] halafu maneno unayotaka kuandika ndio yafuate lakini hiyo B uibanishe kwenye mfumo huu [A] sio kama nilivyoacha hapo space kidogo
me nimekuelewa
 
pole sna hzo changamoto za maisha! fnya uuze moja kat ya vtu vyko vya thamn ili vkusaidie upate mtaji uanzshe mradi mwngne utakaokukuingzia kipato
 
Mtegemee Mungu mkuu yeye atakuvusha salama....tafta pesa mahali weka kiwanja ata bond kwa mda...au kadi ya gari huyo unayemkopa mueleze ukweli ili akupe time ya kutosha ata kama ni kwa riba kidogo. ..baada ya kuvuka apo jtaid uwalipie bima ya matibabu mama na watoto itakusaidia kwa taarfa za bima fka NHIF na kama unachangia mfuko wa pension kama ppf ebu watembelee hua wana fao la uzazi watagharamia sehemu ya garama za wife...I know Wat u feel be strong changamoto znafungua milango
 
Huko kwao hospitali hazipo? Wapelekee wenye mtoto wao waliomzaa asije kufia mikononi mwako Na ulofa wako. Asikufie mikononi warudishie waliomzaa na ueleze wazi kuwa ana complications na wewe sio mkunga wala doctor na pesa huna
Kaka hii post umetuma kwa bnadamu mwenzako kweli????hii ni dunia mkuu leo kwao kesho kwako. ..matatzo yapo mengi si ya pesa tu..
 
Wakuu poleni na majukumu,

Nina umri wa miaka 34, mke na mtoto mmoja, nimepambana kweli kweli miaka 4 nyuma nimejenga kijijini kwetu nimenunua kiwanja pembeni kidogo ya mjini, nimemsomesha mke wangu kamaliza mwaka Jana, miaka 2 nyuma niliona mambo sio mabaya nikavuta kausafiri ka kunisaidia hapa na pale.

MATATIZO YANAANZA. Mwaka Jana nilibadilisha kituo kipya (sekta binafsi) kwa ahadi ya mshahara mkubwa. Dah mambo yakawa sio mambo mshahara ukawa hutoki mpaka miezi 3 hafu tunapewa nusunusu kumbuka hapo wife ameshakuwa mjamzito mimba inamsumbua kweli, mtoto anasoma na nadaiwa kodi ya nyumba. Ilinilazimu kuacha kazi baada ya kuvutana sana basi sikulipwa mishahara miezi mitatu katikati ya mwezi wa 5 nikapata kazi sehemu nyingine japo kwa mshahara mdogo nikalipwa mshahara nusu kwa vile nilianza katikati.

MAAJABU MENGINE HUKU. Leo in trh 4 July hatujalipwa mshahara wa June ninapoandika Uzi huu nimekaa jirani na nyumbani nafikiria nitaingiaje nyumbani kwa mke wangu, anaweza kujifungua muda wowote kuanzia sasa na ana complications, Jana ni kama vile tulilala njaa, leo mama na mtoto sijui wamekula nini, shule zimefunguliwa sina ada ya mtoto, mwenye nyumbani anadai kodi tena atakuwa ananisubiri nyumbani, nimejaribu kuuza gari na kiwanja lakini hakuna wateja. Nina mawazo sana ndugu zangu, ninachoogopa zaidi ni huyu mama mjamzito.

Ushauri wenu na sala zenu.
Mungu atafanya wepesi kwa familia yako mtumainie Mungu zaidi
 
Pole sana jamaa, mimi navyoona usiuze Gari. Uza Kiwanja. Kitangaze Fb. Tungekuwa tunaaminiana humu tungepeana namba, lakini kwakweli huwa hatuaminiani.

Nimeshauri uuze kiwanja badala ya Gari. Hii ni kwasababu Gari itakusaidia mizunguko ikiwemo kumpeleka mkeo hospitali. Kiwanja utanunua Kingine bali ikitengemaa.
Kwa nn unasema hatuaminiani??
 
Back
Top Bottom