Uwezo wako wa kufikiri umeishia hapa?Huko kwao hospitali hazipo? Wapelekee wenye mtoto wao waliomzaa asije kufia mikononi mwako Na ulofa wako. Asikufie mikononi warudishie waliomzaa na ueleze wazi kuwa ana complications na wewe sio mkunga wala doctor na pesa huna
Asante kwa moyo was huruma 0654529315weka namba tukuassist hela ya kula leo
Mmmh naona mgeniHahaha
Halafu ni mgeni sijui... Sijawahi muona kabisaa.... Au id mpya mtu wa zamani
Kukimbilia kazi nyingine usiyoijua kiundani,kisa umesikia kuna mshahara mnono.Tamaa ipi?
Pole Sana mkuuWakuu poleni na majukumu,
Nina umri wa miaka 34, mke na mtoto mmoja, nimepambana kweli kweli miaka 4 nyuma nimejenga kijijini kwetu nimenunua kiwanja pembeni kidogo ya mjini, nimemsomesha mke wangu kamaliza mwaka Jana, miaka 2 nyuma niliona mambo sio mabaya nikavuta kausafiri ka kunisaidia hapa na pale.
MATATIZO YANAANZA. Mwaka Jana nilibadilisha kituo kipya (sekta binafsi) kwa ahadi ya mshahara mkubwa. Dah mambo yakawa sio mambo mshahara ukawa hutoki mpaka miezi 3 hafu tunapewa nusunusu kumbuka hapo wife ameshakuwa mjamzito mimba inamsumbua kweli, mtoto anasoma na nadaiwa kodi ya nyumba. Ilinilazimu kuacha kazi baada ya kuvutana sana basi sikulipwa mishahara miezi mitatu katikati ya mwezi wa 5 nikapata kazi sehemu nyingine japo kwa mshahara mdogo nikalipwa mshahara nusu kwa vile nilianza katikati.
MAAJABU MENGINE HUKU. Leo in trh 4 July hatujalipwa mshahara wa June ninapoandika Uzi huu nimekaa jirani na nyumbani nafikiria nitaingiaje nyumbani kwa mke wangu, anaweza kujifungua muda wowote kuanzia sasa na ana complications, Jana ni kama vile tulilala njaa, leo mama na mtoto sijui wamekula nini, shule zimefunguliwa sina ada ya mtoto, mwenye nyumbani anadai kodi tena atakuwa ananisubiri nyumbani, nimejaribu kuuza gari na kiwanja lakini hakuna wateja. Nina mawazo sana ndugu zangu, ninachoogopa zaidi ni huyu mama mjamzito.
Ushauri wenu na sala zenu.
Kimfaacho mtu chake.weka bei ya gari na kiwanja acha kulialia mwanaume,kimoja lazima kitakutoa japo si kwa bei uliyonunulia
Mkuu sidhan kama umepata matatizo kiasi hicho. Mwenye matatizo angekuja akiwa ameshaweka bond ama anahitaji kuuza gari ama kiwanja. Yaan wewe una assets bado unang'aa macho. Vipi kuhusu sisi wenye shida zaidi yako na hatuna asset? Mkuu una matatizo lakini wengine wanayo zaidi na hawana popote pa kushika.Asante kwa busara zako mkuu.nianze na gari ni raumu namba DAM nikipata 7.5m saws tu.nitafanye sasa.kuhusu bima sector binafsi hazijali hivyo sina.nitajaribu kuongea na bosi wangu japo no mtata sanaaaa
ila sure home boyweka bei ya gari na kiwanja acha kulialia mwanaume,kimoja lazima kitakutoa japo si kwa bei uliyonunulia
Safi sanaweka namba tukuassist hela ya kula leo
Kasema vitu alivyotaka kuuza havijapata mteja.Angekuwa ana mpango wa kujitegemea toka mwanzo angejipanga asingesambaza mikadi kibao ya kuchangiwa aoe tena yenye viwango Na kuweka vikao kibao watu wamchangie aoe yaani atongoze yeye kumbe lofa hela hana hata kuoa anategemea donations. Sasa Kama alikuwa lofa wakati wa kuoa hadi akaoa kwa michango ya ndugu na marafiki sasa Kama ni lofa hadi sasa hawezi uguza mkewe ajifungue mwanae si awarudishie tu huyo mkewe wazazi wake? Sababu inaonyesha wazi kuwa ulofa kwake toka kuoa hadi mimba hiyo ya mkewe haujamtoka. Naomba mpelekeeni Pole mkewe kwa kuolewa na lofa ambaye hata kuoa alichangiwa