Naona aibu kusema nina masters ya Mzumbe

Lazima uone aibu kwasababu nafsi itakusuta mpaka kesho unajipa wadhifa ambao hustahiki kuwa nao,unafikiri elimu ni rahisi ehhh watu tunatembea na pride zetu!
Masters mtu unaandika tu na kusubmit ofcoz kuna possibility kubwa usiandike ww na ucopy na kupaste!Masters unatakiwa usimame uidefend orally kwasababu ni kazi uloitolea jasho,na wakiona defence yako ni mbovu maanake ni kazi ambayo umeilipua na hujui ulichofanya....grade inashuka kama ulipata A kwenye kuandika ukipata E kwenye kuidefend orally unaishia na D. Ukiachilia mbali hio ya kucopy na kupaste sasa ile ukisubmit tu through univeristies website inapelekwa direct kwenye scanning ya plagerism na references zote zinachekiwa watu mnakaa matumbo joto !Nyie mnacheza huko wallahi !
 
Ndio maana viongozi wengi wa ccm na vilaza wa serikali wanakipenda hiki chuo.

Ghafla utasikia mtu ana masters kufumba na kufumbua PhD holder.

Yanapeana Ovyo Ovyo Mpaka Yanashindwa Kuelezea Nchi Zinazo Unda Muungano Wa Tanzania!!!!!!
 
Wadau wa JF
Salam natumain mu wazima! mimi ni mhitimu wa Masters of Business Administration ( Corporate Management) Mzumbe University kiukweli sioni kama nilijifunza kitu kipya kwenye hiyo Masters maana kuanzia Coursework (Assignments) kuna walimu walikuwa wanajitangaza kuwa ukihitaji kufanyiwa Assignment unatoa hela kidogo anakufanyia, kufika hatua ya Dissertation ndo nikaelekezwa kwa "Prof" (kwa bahati ndo alikuwa supervisor wangu chuon) ana ofisi binafsi Mjini, nikaenda tukakubaliana bei yeye ndo akawa anafanya kila kitu mimi nimekuja kukabidhiwa Dissertation ikiwa imeshasainiwa na supervisor nikaenda ku-submit. Kiukweli roho yangu inanishtaki maana sijaitendea haki taaluma.

We muongo acha kudhalilisha chuo. Sio vizuri
 
Mzumbe ni takataka kabisa. Sasa hivi wanasomea pale msimbazi center. Wanajazana hadi wengine wanasikilizia "lecture" kwa nje kama enzi zile za kwa makumaku kule mchikichini...
 
Wewe mnafiki tu siamin kama umesoma Mzumbe na lengo lako ni kuchafua chuo na watu wa IT wa Mzumbe wapo wafuatilie kwa ukaribu watu wa namna hii maana wanaharibu kwa kueneza uvumi ambao hauna ushahidi. Ungeleta cheti chako hadharani na kusema ulivyokipata ungekuwa wa maana lakin kujificha na kusema bila kuthibitisha unayoyasema na unataka tuamini ya moyoni mwako ni unafki. Kila mwanafunzi anajuhudi zake binafsi katika kufikia malengo kutegemeana na uwezo wake kichwani. Kama una akili za kufanya kazi usingekubali kufanyiwa bali kwa vile kilaza unasema hadharani udhaifu wako. Walimu pia ni binadamu wanapoamua kukusaidia ili umalize kazi yako ujue wewe mwenyewe ulionekana unamatatizo ya kiakili juu ya kazi yako bora wakusaidie uondoke ukajue na mwajiri wako. Maana kama wamekusaidia na kisha shukrani yako kwao ni kuwasema vibaya jua wewe akili yako ni mbovu! Je unataka wanafunzi wengine vilaza wasisaidiwe na wao wamalize kama wewe? Kama una akili nzuri kitupe hicho cheti hadharan na ukatafute MBA coorperate nyingine kama utaweza!!! Na hii inaonesha wewe una akili mbovu na kisha una roho mbaya kiasi ambacho ukimwoona mwenzako ana elimu kama yako unatamani afe ubaki wewe duniani na kama roho yako ingekuwa na ncha kali ungetumia kuwachoma washindani wako ili wafe. Acha roho mbaya mwombe Allah akupe roho yenye kutulizana na kuridhika na akuepushe na unafiki na pia akupe uwezo wa kutafakari unayoandika mtandaoni yawe na manufaa kwa jamii na si kuharibu na kubomoa kama uwezo wako ulivyo sasa.
 
Hata NAPE ana masterz ya Mzumbe lakini form four alitandika four nzuri tu.... binti wa Pinda nae mwaka jana alitandika masterz yake hapo hapo mzumbe
 
Bottom Line. Message itakuwa imewafikia.
Kama ni watu wa kujirekebisha watafanya hivyo.
 
We mleta mada utakuwa UKAWA. Maana hawaUKAWA wana maprofesor na madoctor wasioweza kucalculate 2/3 ya wajumbe wa BMK kutoka Zanzibar hadi wanaaibishwa mwisho wa mchakato.
 
Wewe mnafiki tu siamin kama umesoma Mzumbe na lengo lako ni kuchafua chuo na watu wa IT wa Mzumbe wapo wafuatilie kwa ukaribu watu wa namna hii maana wanaharibu kwa kueneza uvumi ambao hauna ushahidi. Ungeleta cheti chako hadharani na kusema ulivyokipata ungekuwa wa maana lakin kujificha na kusema bila kuthibitisha unayoyasema na unataka tuamini ya moyoni mwako ni unafki. Kila mwanafunzi anajuhudi zake binafsi katika kufikia malengo kutegemeana na uwezo wake kichwani. Kama una akili za kufanya kazi usingekubali kufanyiwa bali kwa vile kilaza unasema hadharani udhaifu wako. Walimu pia ni binadamu wanapoamua kukusaidia ili umalize kazi yako ujue wewe mwenyewe ulionekana unamatatizo ya kiakili juu ya kazi yako bora wakusaidie uondoke ukajue na mwajiri wako. Maana kama wamekusaidia na kisha shukrani yako kwao ni kuwasema vibaya jua wewe akili yako ni mbovu! Je unataka wanafunzi wengine vilaza wasisaidiwe na wao wamalize kama wewe? Kama una akili nzuri kitupe hicho cheti hadharan na ukatafute MBA coorperate nyingine kama utaweza!!! Na hii inaonesha wewe una akili mbovu na kisha una roho mbaya kiasi ambacho ukimwoona mwenzako ana elimu kama yako unatamani afe ubaki wewe duniani na kama roho yako ingekuwa na ncha kali ungetumia kuwachoma washindani wako ili wafe. Acha roho mbaya mwombe Allah akupe roho yenye kutulizana na kuridhika na akuepushe na unafiki na pia akupe uwezo wa kutafakari unayoandika mtandaoni yawe na manufaa kwa jamii na si kuharibu na kubomoa kama uwezo wako ulivyo sasa.

Mim bnafsi nmeshamwelewa kawa muwaz mkuu
 
Lazima uone aibu kwasababu nafsi itakusuta mpaka kesho unajipa wadhifa ambao hustahiki kuwa nao,unafikiri elimu ni rahisi ehhh watu tunatembea na pride zetu!
Masters mtu unaandika tu na kusubmit ofcoz kuna possibility kubwa usiandike ww na ucopy na kupaste!Masters unatakiwa usimame uidefend orally kwasababu ni kazi uloitolea jasho,na wakiona defence yako ni mbovu maanake ni kazi ambayo umeilipua na hujui ulichofanya....grade inashuka kama ulipata A kwenye kuandika ukipata E kwenye kuidefend orally unaishia na D. Ukiachilia mbali hio ya kucopy na kupaste sasa ile ukisubmit tu through univeristies website inapelekwa direct kwenye scanning ya plagerism na references zote zinachekiwa watu mnakaa matumbo joto !Nyie mnacheza huko wallahi !
tunacheza???hiyo hela tu ya kumpa mtu si lazima itafutwe,yaan huyu mtoa mada amjitahidi sana,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom