tunasongaMbele
Member
- Apr 1, 2021
- 57
- 50
Habari zenu ndugu,
Natafuta wazo bora la biashara ambayo nategemea kuwekeza mtaji takribani million arobaini na tano za kitanzania na return yake napenda kushauriwa itakuaje kwa mwezi.
N.B Kwa nature ya biashara nayofanya tayari nina experience ya kutosha kwenu ninyi nachoomba wazo la biashara ambalo naweza ingiza hizo pesa zote au robo tatu yake. Biashara aina yoyote naweza fanya.

- Msimamizi, mimi mwenyewe
- Eneo: Dar es Salaam
- Jinsia yangu ni mwanaume
- Makazi-Dar es Salaam
- Umri miaka 26
- Elimu niliyonayo inatosha kuendesha (hapo sina shaka)