Nebuchadneza
JF-Expert Member
- Oct 6, 2023
- 415
- 1,030
Habari,
Nina wazo la biashara ila mtaji unazingua, nitaanza na nilichonacho.
Kwa kuwa nimeishi Dar muda mrefu na nimejuwa mitaa na chocho za Dar, hakuna sehemu utanipoteza Dar.
Basi nachofikiria kichwani mwangu, nafungua office mkoani kwakua mkoani kuna watu wanahitaji vitu mbalimbali ila kuvipata kwa bei isiyoumiza/bei ya juu hawajui sasa nataka niwenawanunulia city Dar then nafanya deliverance kwenye office yangu wanakuja kivipokea.
Hapo nitakuwa na bargain na mtu anayehitaji nimchukuliwe vitu dar, hapo anilipe mda wangu nitakao utumia kumtafutia vitu anavyotaka,alipe ela ya usafiri.
Naombeni msaada ni boreshe wapi, au niongeze kipi ili iliwazo liwe safi, nimeona niandike wazi hapa ili wengine wapate wazo la hii biashara, ili vijana tujikwamue na haya maisha ya madafu.
Karibuni kwa mchango wenu.