Naombeni ushauri

Vile meili na ubongo vinashindwa ku-coordinate. Yaani meili unaweza ukawa umecheka unahitaji pumzika lakin ubongo unakua bado una energy, and vice versa.
Mwili huanza kudai muungano kwa kufanya rapid eyes move ment, the ubongo ndo unakupa picha ya kutisha ili adrenalin iweze ku-jumpstart movements za mwili.. Hili tukio lote huchukua kati ya sekunde 8 mpaka 15. hata kama ukiona umekaa kwenye hali hiyo kwa muda mrefu sana, hua ni wenge tu na ile uoga wa ushirikina ndo unafanya uone jambo ni kubwa.. lakini ni kawaida tu.
 
Nimeichukua boss asante sana
 
Ni kweli
 
Nalala mapema sana saa nne nakuwa nimelala kabisa nimechelewa sana saa tano situmiii vinywaji vyenye caffeine
Achana na kulala usiku lala asibuhi kwa muda wa mwezi mmoja..kama unaendaga kanisani au msikitini au kwa waganga wa kienyeji acha mara moja.
 
Achana na kulala usiku lala asibuhi kwa muda wa mwezi mmoja..kama unaendaga kanisani au msikitini au kwa waganga wa kienyeji acha mara moja.
Kazi za watu ata fanya nani?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…