Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,467
- 65,790
- Thread starter
-
- #41
Mazoea siwez lala naangalia juu kabisa tatizo lilianzia hapo kulala na angalia juu nika katazwa na wazee toka mdogUnalalaje ubavu wa kiume ? Eeh
Haya wewe sii ndo mpinga ugali ? Ushawah mtu anayekula nguna ana ttzo kama Hilo ?
Chagua jina zuri ulipendalo Kisha nimwite shekheNipo tayari
Kazi ya Mungu haina makosa.Nikifaaa
Navyojua ukilala ubavu ni ngumu kunyongwa sasa wewe ngoja tumwite mzee wa kanisaMazoea siwez lala naangalia juu kabisa tatizo lilianzia hapo kulala na angalia juu nika katazwa na wazee toka mdog
Good morng
Ase hii kitu ina ni kwaza sana since nipo mdogo up now tena kipindi nipo mdogo nilikuwa sitamani usiku ufike kabisa ipo hivi
Usiku nikiwa nimelala naweza amka katikati ya usiku nikawa macho up saa kumi au saa kumi na moja na hapo unakuja usingizi ule mzito sana then na muona mtu ila nikitaka kunyanyua shingo nimuone sura nashindwa ana kuwa kama kani kandamiza shingo
Kinacho nikela zaidi nikiwa ugenini ndio kuzidi yaani na muona mtu na pigana nae kabisa ila sura si wezi ona nisha tumia kila mbinu hii hali iishe ina potea ina kuja tena nikisema niombe maombi ya toba na maombi ya vita vita usiku ndio ina kuwa kali zaidi kuliko kawaida
Nakuja kwenu kuomba ushauri njia ipi mzuri nitumie nataka niwe nalala usiku hii kitu ina chosha
Sawa nitajaribuHebu jaribu kula kiasi wakati wa usiku na ukae masaa matatu kabla hujalala
Si ajabu jamaa anataka amfanyie massage ya shingo kwa wema tuu.Unataka nyamwi abaki mjane?🤣🤣
😂😂Kwann huombei Taifa teule? Ntakushtak kwa mama mchungaji 🤔
Shalom shalom wapendwa
Jioni ya leo tuna maombi ya kuiombea Israel Taifa teule!!!
Mudi au amdalaChagua jina zuri ulipendalo Kisha nimwite shekhe
Mimi sio mtaalamu sana! Ila kutokana na experience yangu hali hiyo inawapata wengi tu, mimi nikiwa miungoni mwao,Good morng
Ase hii kitu ina ni kwaza sana since nipo mdogo up now tena kipindi nipo mdogo nilikuwa sitamani usiku ufike kabisa ipo hivi
Usiku nikiwa nimelala naweza amka katikati ya usiku nikawa macho up saa kumi au saa kumi na moja na hapo unakuja usingizi ule mzito sana then na muona mtu ila nikitaka kunyanyua shingo nimuone sura nashindwa ana kuwa kama kani kandamiza shingo
Kinacho nikela zaidi nikiwa ugenini ndio kuzidi yaani na muona mtu na pigana nae kabisa ila sura si wezi ona nisha tumia kila mbinu hii hali iishe ina potea ina kuja tena nikisema niombe maombi ya toba na maombi ya vita vita usiku ndio ina kuwa kali zaidi kuliko kawaida
Nakuja kwenu kuomba ushauri njia ipi mzuri nitumie nataka niwe nalala usiku hii kitu ina chosha
Muda badooKazi ya Mungu haina makosa.
Wasichoelewa wakristo wengi ni ...Embu fafanua
Tayari wewe Uchawi Unakunyemelea Nakushauri Ujiunge naoGood morng
Ase hii kitu ina ni kwaza sana since nipo mdogo up now tena kipindi nipo mdogo nilikuwa sitamani usiku ufike kabisa ipo hivi
Usiku nikiwa nimelala naweza amka katikati ya usiku nikawa macho up saa kumi au saa kumi na moja na hapo unakuja usingizi ule mzito sana then na muona mtu ila nikitaka kunyanyua shingo nimuone sura nashindwa ana kuwa kama kani kandamiza shingo
Kinacho nikela zaidi nikiwa ugenini ndio kuzidi yaani na muona mtu na pigana nae kabisa ila sura si wezi ona nisha tumia kila mbinu hii hali iishe ina potea ina kuja tena nikisema niombe maombi ya toba na maombi ya vita vita usiku ndio ina kuwa kali zaidi kuliko kawaida
Nakuja kwenu kuomba ushauri njia ipi mzuri nitumie nataka niwe nalala usiku hii kitu ina chosha
Niliambiwa na nguvu za kiroho kali sanaNavyojua ukilala ubavu ni ngumu kunyongwa sasa wewe ngoja tumwite mzee wa kanisa
Pisi imechangamka kuliko wewe... Wewe na mapishi, shibela na siasa ngumu 🤣🤣🤣Sio nyamwii ni shibela
ArushaUnaishi mkoa gani? Unaitajia Mtu wa uhakika kukuombea, na sio hawa manabii feki
Abdallah au Muhammad au MohammedMudi au amdala
Wema upiii😂😂Si ajabu jamaa anataka amfanyie massage ya shingo kwa wema tuu.
Tambiko Lina Raha yake warere 😍Wasichoelewa wakristo wengi ni ...
Mungu kukusaidia sababu sio kuwa mwema
Mungu kukusaidia ni uwe mtii kwake, Kutii sauti yake.. (Mungu ndio anataka hilo)
Kumpenda Mungu maana yake Kumtii.
Piga picha sasa:-
1. Hujui purpose yako hapa duniani
2. Hujui kusikia sauti ya Mungu
3. Hujawai kufata agizo la Mungu.
4. Kuchanganya na imani potofu, (Mkristo na unatoa sadaka kwa miungu au mizimu)
5. Nafsi mmefungwa na hujui imefungwa na nn kwakutokuwa msikivu wa Ndoto zinazofunua mambo yote.
6. Adui yako anaweza kuwa mtu wako wa karibu na unamtegemea sana.
Tafuta Agano na kumjua Mungu zaidi.