Mla Bata
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 8,204
- 18,898
Kama umezoea kutumia Android phones mwanzo itakupa wakati mgumu sana, mpaka pale utakapoamua kuachana na vitabia vya simu za Android au utakapoanza kujua baadhi ya tweaks za kuifanya ilingane na matumizi yako awali, kama ulishazoea kurushiana nyimbo kupitia Bluetooth kwenye iPhone hayo masuala hayapo, kuweka miziki ni mpaka uwe na Software ya iTunes, kama ukizoea kutumia third-party app kuwa mbadala wa system app, huko kwenye iPhone nyingi zipo restricted kwa ajili ya security, kwa ufupi kama ulizoea mambo yako ya ajabu ajabu kwenye Android basi huko kwenye iPhone utayakosa mpaka baadae sana utakaonza kuijua vizuri eco-system ya iOS na tweaks zake kama jailbreak na nyinginezo
Nilipata shida sana kipindi cha mwanzo kuzoea ios, android ni ugonjwa mbaya sana asee[emoji23]