Naombeni ushauri wenu, nahitaji nunua iphone 6s+

wewe bwana nunua tu tecno yaishe,nakufuatilia maswali yako hapa,najisikia kichefuchefu,tuache wa iOs tuendelee na maisha yetu na nyie wa Android hali kadhalika,acha kumchosha@ WAHEED SUDAY

Lubede nimekupenda bure...................... Mimi mwenyewe ni iPhone user.................... na hata camera ya iPhone ni kitu ingine.................. na haina mambo ya ajabu ajabu sijui wimbo wa diamond ndio ringing tone sijui unaweka vitu vya ajabu ajabu kwa wanaojielewa tuu ndio wanaoweza kuwa iPhone user...

Mwenzako huyo ni wa Tecno hana ujanja hata samsung bado
 
maswali yake tu,anaonyesha haelewi hata anachokiulizia,anafikiri huo muziki wa mchezo,ataishia kuzisoma tu kwenye magazeti...na asidhanie ukiwa tu una pesa ndio ununue iphone,anaitafuta aibu mchana wa jua kali..
 
Ha ha ha ha kabisa iPhone kitu kingine i real like it
 
maswali yake tu,anaonyesha haelewi hata anachokiulizia,anafikiri huo muziki wa mchezo,ataishia kuzisoma tu kwenye magazeti...na asidhanie ukiwa tu una pesa ndio ununue iphone,anaitafuta aibu mchana wa jua kali..
ina matatizo au
 
Mkuu labda naweza kukubaliana kwenye suala la fast charging tu tena ni kwa simu za high end na mid-range chache zenye hiyo capability, anyway let us take it as it's, suala la memory card kwangu sio hoja maana kuna choice ya iPhone yenye 128GB, 256GB, sasa ukiwa na simu moja kati hizo memory card ya nini!?, pia hasa sisi wabongo tumekuwa na tabia ya kujinunulia tu memory card bila kujali uwezo wa memory card kwenye data ready and write sequential mwisho wa siku unakuta unaathiri performance ya simu bila kujua, kuhusu suala la QHD display ni hujajua kuwa ukubwa wa pixels kwenye simu ni directly proportional na matumizi ya battery, yaani matumizi ya kioo cha QHD na HD kwenye simu zenye display size moja na ukubwa wa battery unaolingana ni tofauti kabisa ingawa processor ina mchango mkubwa pia kwenye matumizi ya battery ndo maana ukichukua iphone ambazo huwa hazizidi 2000mAh na ukichukua Android phone zenye 3000mAh utaona ukaaji wa battery hauna tofauti, simu ikiwa na HD Au FHD display inatosha kabisa hasa kwa hizi simu zenye 4.7', 5' 5.5', QHD zinatakiwa kuelekezwa kwenye TV
Pia ukaaji wa battery unategemea na eco system ya OS. Mfano mzuri nimekupa hapo juu, na ukaaji wa battery unachangiwa na factors nyingi na si kila simu ya android inakaa na battery kwa mda mrefu
Kuhusu camera usitake kuaminisha watu kuwa kila Android phone ina camera nzuri kuliko iphone, mtu anayemtoa jasho Apple kwenye suala la camera ni Samsung akifuatia na LG, kidogo juzi Google kaja kutoa upinzani na simu yake pixel. Lakini bado Apple anatengeneza simu zenye camera nzuri tu tena zenye ushindani wa hali ya juu

Wabongo Mna Matatzo sana..
mnajifanya Mnajua mambo wakat hata kutengeneza Calculator hamuwezi..

Sasa Eti 'qhd inatakiwa iwe kwenye Tv sio Simu' kwahyo wao walioweka kwenye simu ni wajinga,.?

Hapo juu umezungumzia Suala La customization eti ni Ujinga,kwako ni ujinga kwa wengine ni Raha,ulitaka zote ziwe na sifa 1 sasa kungekuwa na haja gani ya kuwa na Os Tofauti Tofauti.???

Nimetumia Iphone 6+ sitakaa nirudi tena kwenye Apple..Yani Bila Internet Apple ni sawa tu Na Tecno Ya Tochi Yenye Mp3 player..

Ndiyo maana mpaka leo Trump Anatumia Galaxy S3 na akishauriwa Na CiA abadilishe anakataa..
 
Wewe usiyekuwa na matatizo umeshindwa kutofautisha kati ya maoni ya wabongo na maoni ya mtu mmoja, This is my opinion bro kwa hiyo usichukulie kama ndo mtazamo wa wabongo wote, pia nakushauri tu usiwe muoga wa kuchallenge kitu kisa tu wewe huwezi kukifanya la hasha, mfano usiogope kumwambia mpishi wa maandazi kuwa leo maandazi yako sio mazuri eti kisa wewe huna ujuzi wa kupika maandazi, na kupitia ukosoaji ndo tunaona maboresho mazuri katika vitu, ua wewe wewe hujawahi kusikia mtu anamkosoa Christiano Ronaldo kuwa leo kacheza vibaya ili hali huyo mtu aliyemkosoa hajui hata kupiga danadana moja! Panua mawazo mkuu huu ni ulimwengu wa kufikiri bila mipaka.
NB: Siku nyingine mkosoe mtu kulingana na mawazo yake na sio kujumuisha watu wote kama hapo uliposema wabongo (hadi wewe umejijumuisha bila kujua)
 
Wabongo Mna Matatzo sana..
mnajifanya Mnajua mambo wakat hata kutengeneza Calculator hamuwezi..

Sasa Eti 'qhd inatakiwa iwe kwenye Tv sio Simu' kwahyo wao walioweka kwenye simu ni wajinga,.?

Hapo juu umezungumzia Suala La customization eti ni Ujinga,kwako ni ujinga kwa wengine ni Raha,ulitaka zote ziwe na sifa 1 sasa kungekuwa na haja gani ya kuwa na Os Tofauti Tofauti.???

Nimetumia Iphone 6+ sitakaa nirudi tena kwenye Apple..Yani Bila Internet Apple ni sawa tu Na Tecno Ya Tochi Yenye Mp3 player..

Ndiyo maana mpaka leo Trump Anatumia Galaxy S3 na akishauriwa Na CiA abadilishe anakataa..
Kiukweli iphone inauzia brand tu wala sio kingine,

Mara ya kwanza naisikia bei ya bb nilistuka sana lakini nilipoishika nikagundua ni kwanini ina bei kubwa, tofauti na iphone.

Bei kubwa lakini linapokuja swala la kuifurahia simu yako, utagundua kwamba umebeba ujiko tu wala hakuna cha kusisimua.leo hii mtanzani naye anakwambia iphone ni matata wakati linapokuja swala la kucheza na simu kama rafiki yake yeye hana kiburi hicho.

Watu tunashare maujanja humu ya kuzidi kuzipangua zile 15%za matumizi ya simu kwa mtz, wakati wazee wa ios nina uhakika wako 5% ya matumizi ya simu.
 
We jamaa unaonekana kama hujui unachouliza na sidhani kama uko serious... baki huko huko kwenye android, maana kama maswali yenyewe ni haya umeshaonesha unaziogopa iPhones
 
Iphone imenishida kwny line? Yan simu inatumia line moja so itanibidi ninunue simu nyingine na kuwa na simu mbili,nashindwa kuweka mfukoni simu mbili,changuo langu lipo kwa S7 samsung coz ni duos na inaspecification kubwa kuzidi iphone
Kwa nini uwe na line zaidi ya moja?
 
Kiukweli iphone inauzia brand tu wala sio kingine,

Mara ya kwanza naisikia bei ya bb nilistuka sana lakini nilipoishika nikagundua ni kwanini ina bei kubwa, tofauti na iphone.

Bei kubwa lakini linapokuja swala la kuifurahia simu yako, utagundua kwamba umebeba ujiko tu wala hakuna cha kusisimua.leo hii mtanzani naye anakwambia iphone ni matata wakati linapokuja swala la kucheza na simu kama rafiki yake yeye hana kiburi hicho.

Watu tunashare maujanja humu ya kuzidi kuzipangua zile 15%za matumizi ya simu kwa mtz, wakati wazee wa ios nina uhakika wako 5% ya matumizi ya simu.
Simu ni zaidi ya mawasiliano..ni identity, prestige na mwisho ndoo mawasiliano ila kibongo bongo unaanza kwenye mawasiliano, ndio vingine vinafuata. Huwazi kwa nin wakati wa kuzindua simu mpya za iPhone maduka makubwa ya simu watu wanakesha ili tu kupata brand mpya...

SO KILA MTU AISHI APENDAVYO ila dah mtumia Tecno na iPhone no hazina hadhi sawa lets be serious...
 
Acha kutusumbua wewe endelea kutumia Tecno achana na IOS,otherwise anza na na iphone 5C ili ujielewe then uje kwa 6s+
 
Iphone nzuri nje tu lakini kwenye kuitumia hamna kitu labla kama hujawahi tumia android. Haina uhuru
 
Ha ha ha ha..naona mtoa mada kauliza swali wanaomjibu wamehamia kwenye Android vs iOS,imenikumbusha hii video hapa na video hii
 
Mkuu labda naweza kukubaliana kwenye suala la fast charging tu tena ni kwa simu za high end na mid-range chache zenye hiyo capability, anyway let us take it as it's, suala la memory card kwangu sio hoja maana kuna choice ya iPhone yenye 128GB, 256GB, sasa ukiwa na simu moja kati hizo memory card ya nini!?, pia hasa sisi wabongo tumekuwa na tabia ya kujinunulia tu memory card bila kujali uwezo wa memory card kwenye data ready and write sequential mwisho wa siku unakuta unaathiri performance ya simu bila kujua, kuhusu suala la QHD display ni hujajua kuwa ukubwa wa pixels kwenye simu ni directly proportional na matumizi ya battery, yaani matumizi ya kioo cha QHD na HD kwenye simu zenye display size moja na ukubwa wa battery unaolingana ni tofauti kabisa ingawa processor ina mchango mkubwa pia kwenye matumizi ya battery ndo maana ukichukua iphone ambazo huwa hazizidi 2000mAh na ukichukua Android phone zenye 3000mAh utaona ukaaji wa battery hauna tofauti, simu ikiwa na HD Au FHD display inatosha kabisa hasa kwa hizi simu zenye 4.7', 5' 5.5', QHD zinatakiwa kuelekezwa kwenye TV
Pia ukaaji wa battery unategemea na eco system ya OS. Mfano mzuri nimekupa hapo juu, na ukaaji wa battery unachangiwa na factors nyingi na si kila simu ya android inakaa na battery kwa mda mrefu
Kuhusu camera usitake kuaminisha watu kuwa kila Android phone ina camera nzuri kuliko iphone, mtu anayemtoa jasho Apple kwenye suala la camera ni Samsung akifuatia na LG, kidogo juzi Google kaja kutoa upinzani na simu yake pixel. Lakini bado Apple anatengeneza simu zenye camera nzuri tu tena zenye ushindani wa hali ya juu
NOKIA unamuweka wapi camera iphone ni reality haina cha Hdr wala nn ila samsung kiboko
 
Ha ha ha ha..naona mtoa mada kauliza swali wanaomjibu wamehamia kwenye Android vs iOS,imenikumbusha hii video hapa na video hii

Hizi video zinazungumza mengi sana.

Zinafurahisha, na kusikitisha pia.
 
Back
Top Bottom