Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,622
- 5,251
Ha ha ha ha..naona mtoa mada kauliza swali wanaomjibu wamehamia kwenye Android vs iOS,imenikumbusha hii video hapa na video hii
Mkuu olsea hizo video umezipata wapi wamarekani wajanja wajanja tu nw ndio kabisa sitokaa tena niiweke iphone kichwani mwangu kwa video hizo nadiriki kusema MICROSOFT (windows phone ni bora kimatumizi ) kuliko iphone sasa hapa kilichobaki ni kuangalia namna ambayo nitaweza tu kuchukua android next week nianze faidi maujanja ya android .Usalama wa taarifazangu kitu gani bwana ? Mimi nina siri ipi ambayo itanilazimu mpka niwe naiphone ndio nitumie Olsea nadhani umenielewa be patient bro tukamilishe ule mpango