Naombeni ushauri wakuu, mke wangu amezaa na mwanaume mwingine

Bilionaire kekeman

Senior Member
Nov 26, 2022
142
823
kaka habari yako pole na majukumu,nakuomba uni postie hili Jambo linanisumbua Sana naomba nipate ushauri wa watu wengi moyo wangu upone lkn naomba unifichie jina langu..

Kaka sasa liko ihvi, mimi nimeoa mwaka 2014 mpaka sasa Niko na watoto wa3 watoto wangu nawashughulikia kama Baba vizuri, lakini mwaka Jana mke wangu akabeba mimba nje ya ndoa nilikuwa safari ya miezi 3 after kurudi sikujua kama mke wangu nimjamzito maana sikumchunguza Kwa sababu nilikuwa na mwamini Sana..

Miezi ikaendelea kusogea baadae akajifungua vizuri mtoto wa kiume lakini sasa nika hesabu miezi nilie lala na mke wangu ni muda wa miezi sita, hapo ndio Nikagundua mimba sio yangu..

Nikamuuliza akakiri ameteleza anaomba nimsamee lakin nimeumia Sana mpaka sasa Bado naishi na yeye lakini Imani yangu imepotea kwake kabisa nifanyaje Kwa maana tayari amenizalia watoto 3 iyo kitu inanisumbua Hadi saa hii...
 
Attachments

  • facebook_20240328_110052.mkv
    525.9 KB · Views: 5
binafsi ningekushauri ambavyo wengine hawatakushauri.
we endelea na maisha kama mke wako na mtoto lea na mkubali kama mtoto wako wala usimbague kwa kuwa gharama ya kuwatafutia watoto mama mwingine ni kubwa kuliko kubaki naye.
ila ukweli ni kwamba maumivu yatakuwepo lakini usiogope tukiacha ubinafsi tunaweza kuyajenga ndani ya familia kwa faida ya watoto na familia kwa ujumla na maisha yakaenda mwisho wa siku wanawake wengi tulionao ni wake za watu hatukuwaoa wakiwa bikira.
maisha ni mafupi sana jitahidi kuwa mvumilivu kwakuwa muda ni mfupi sana kwa kila kitu.
 
kaka habari yako pole na majukumu,nakuomba uni postie hili Jambo linanisumbua Sana naomba nipate ushauri wa watu wengi moyo wangu upone lkn naomba unifichie jina langu..

Kaka sasa liko ihvi, mimi nimeoa mwaka 2014 mpaka sasa Niko na watoto wa3 watoto wangu nawashughulikia kama Baba vizuri, lakini mwaka Jana mke wangu akabeba mimba nje ya ndoa nilikuwa safari ya miezi 3 after kurudi sikujua kama mke wangu nimjamzito maana sikumchunguza Kwa sababu nilikuwa na mwamini Sana..

Miezi ikaendelea kusogea baadae akajifungua vizuri mtoto wa kiume lakini sasa nika hesabu miezi nilie lala na mke wangu ni muda wa miezi sita, hapo ndio Nikagundua mimba sio yangu..

Nikamuuliza akakiri ameteleza anaomba nimsamee lakin nimeumia Sana mpaka sasa Bado naishi na yeye lakini Imani yangu imepotea kwake kabisa nifanyaje Kwa maana tayari amenizalia watoto 3 iyo kitu inanisumbua Hadi saa hii...
Mwambie huyo jamaa yako hivi;kitanda hakizai haramu. Ingawa kiukweli hilo jambo linauma sana likitokea kweli kwa wanandoa.
 
Mpaka ameludi amebaini mkewe ana mtoto wa nje ya ndoa na bado tu amekaa nae alafu na ushauri bado anaomba, huyo hatuwez mshauri tusijisumbue wana JF.
 
kuna mwamba alikua likizo kikaz akaenda bush kwao network chenga mkewe akamtengenezea chet cha kifo akapeleka kazin akavuta stahiki za kiongozi alafu akaolewa na mvuta bange wake wakat anasubiria taratibu za mirathi ndio mwamba anarudi anaonekana kama mzimu 😁😁😁
Ni bongo hii hii?
 
kaka habari yako pole na majukumu,nakuomba uni postie hili Jambo linanisumbua Sana naomba nipate ushauri wa watu wengi moyo wangu upone lkn naomba unifichie jina langu..

Kaka sasa liko ihvi, mimi nimeoa mwaka 2014 mpaka sasa Niko na watoto wa3 watoto wangu nawashughulikia kama Baba vizuri, lakini mwaka Jana mke wangu akabeba mimba nje ya ndoa nilikuwa safari ya miezi 3 after kurudi sikujua kama mke wangu nimjamzito maana sikumchunguza Kwa sababu nilikuwa na mwamini Sana..

Miezi ikaendelea kusogea baadae akajifungua vizuri mtoto wa kiume lakini sasa nika hesabu miezi nilie lala na mke wangu ni muda wa miezi sita, hapo ndio Nikagundua mimba sio yangu..

Nikamuuliza akakiri ameteleza anaomba nimsamee lakin nimeumia Sana mpaka sasa Bado naishi na yeye lakini Imani yangu imepotea kwake kabisa nifanyaje Kwa maana tayari amenizalia watoto 3 iyo kitu inanisumbua Hadi saa hii...fukuzas
fukuza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom