othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 5,696
- 9,115
Asitegemee fadhila kwamba mwamba akitoboa basi anaweza kumpiga tafu baadae hilo sahau.. washkaji wengi ni masnich wkt wakiwa na shida vichwa vinakuwa chini akitoboa mabega yanakuwa juu na kusahau waliowasaidia....Mvumilie mkuu. Ila inabidi mpange utaratibu wa kuishi hapo ghetto. Mchangie matumizi kama kodi, chakula n.k
Huwezi kujua leo na kesho huyo mwamba anaweza akatoboa kabla yako na akawa msaada kwako. Mvumilie in the mean time akiji-sort.
Ila ukiona anakuwa mzigo kwako yani sio mtu wa kupambania kombe mda wote yupo tu na simu JF mara Insta au anakuletea wanawake ghetto fukuza au hama muache.
Otherwise mvumilie huwezi kujua maana majaribu kama hayo yaweza kuja na neema.
Uamuzi ni wako akidha asepe au abaki.