Naombeni ushauri ninunue gari ipi

Ninunue gari ipi kati ya hizi

  • Total voters
    50
Nimepishana na Simbachawene hapa tego la noti Kigoma
 
Kuna madalali 100 humu watafute unakuaje na hela hujui gari la kununua?
Si ukalime mpunga mbarari huko.
 
Nipo Da wakuu possibly leo au kesho nitanunua mkoko wangu, battle kubwa ilokuwa, kwa honda na outlander, nimeamua nichukue outlander ya 2006 for 23mil mungu akipenda j2 naanza kurudi mwanza
 
Comment naondoka j1 kurudi mwanza
 
Attachments

  • 4377458_NjIwLTQ2NS0zMmUwMDI3NmEz.webp
    36.2 KB · Views: 30
Mrejesho outlander
Mpaka sasa nimcover nayo kama 2600km nlichogunfua
Haina speed, ni nzito sana haichanganyi, ukiendesha na rpm 2000 kuchula inakula mafuta vizuri ikizidi 2000 uwe vizuri mfukoni., la sivyo utalala njiani
 
Vipi kwa sasa unaionaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…