sharifa dotto
Member
- Jan 9, 2017
- 22
- 12
- Thread starter
- #21
Nina umr wa miak 18Sharifa una umri gani??labda tuanzie hapo
Na n mkristo
Nina umr wa miak 18Sharifa una umri gani??labda tuanzie hapo
kama hauna future mwache akutumie tu hakuna ubaya....
sijajua unaomba ushauri gani hapo unataka uhalalishe mahusiano ukijua kabisa hayana future girls some time we need to think
Nifany nn sas maan nshindw kuelew tht wy nkaomb uxhaul wenu
Kama unataka mapenz ya kwl mwache aendelee na mke wake ww utapata mwingne.. Mana sasa ntakua wawilii mtagombanaaa..!!Nina mtu nampenda sana. Na yeye amenihakikishia ananipenda lakini yeye ana mke na siku alonambia ananipend alinambia kuwa yeye ameoa
Sasa nifanye nn?? Naomben ushauri wenu
Mume wa mtu ndo kamtafuta
Nina mtu nampenda sana. Na yeye amenihakikishia ananipenda lakini yeye ana mke na siku alonambia ananipend alinambia kuwa yeye ameoa
Sasa nifanye nn?? Naomben ushauri wenu
Unataka tukushauri kwamba uharibu ndoa ya mwanamke mwenzio kisa umeshindwa kuzuia tamaa zako na nyege za mwili? Wanaume wote hawa duniani unataka uchukue mume wa mtu ili iweje? Tafuta wa kwako huyo mwanaume ni wa mwanamke mwenzio hujui ametoka naye wapi mpk akaamua kumuoa na kumuweka ndani ili ajenge naye familia.Nina mtu nampenda sana. Na yeye amenihakikishia ananipenda lakini yeye ana mke na siku alonambia ananipend alinambia kuwa yeye ameoa
Sasa nifanye nn?? Naomben ushauri wenu
Dini yenu si inaruhusu kuwa mke wa pili?mwambie akuoe.Nina mtu nampenda sana. Na yeye amenihakikishia ananipenda lakini yeye ana mke na siku alonambia ananipend alinambia kuwa yeye ameoa
Sasa nifanye nn?? Naomben ushauri wenu
Soma kwanza mdogo wangu...maana sio kwa hizo x badala ya sNifany nn sas maan nshindw kuelew tht wy nkaomb uxhaul wenu
Wewe ndo umeuliza swali la msingi. Wengine naona wanakurupuka tuDini yenu si inaruhusu kuwa mke wa pili?mwambie akuoe.
Nina umr wa miak 18
Na n mkristo
Kwanini unataka kupanda gari lililojaa wakati kuna mengi tu yapo empty? Unapenda kusimama, kuteseka?Nina mtu nampenda sana. Na yeye amenihakikishia ananipenda lakini yeye ana mke na siku alonambia ananipend alinambia kuwa yeye ameoa
Sasa nifanye nn?? Naomben ushauri wenu
Wewe ni mtu mzima,angalia sababu ya wewe kumpenda na mazingira ya yeye kukupenda ingawa ameoa. Kama mnataka kutumiana na kuachana ni maamuzi yenu na kama yeye amemchoka alienae na anataka kumove on,hayo ni maamuzi yenu.Nina mtu nampenda sana. Na yeye amenihakikishia ananipenda lakini yeye ana mke na siku alonambia ananipend alinambia kuwa yeye ameoa
Sasa nifanye nn?? Naomben ushauri wenu