Naombeni ushauri; Nimempenda mume wa mtu

Naombeni ushauri; Nimempenda mume wa mtu

is it true kwamba wanawake wamewazidi wanaume kwa idadi?
 
Nina mtu nampenda sana. Na yeye amenihakikishia ananipenda lakini yeye ana mke na siku alioniambia ananipenda alinambia kuwa yeye ameoa.

Sasa nifanye nini?

Naombeni ushauri wenu.
mwanamke akikosa akiri, papuchi ndio itakayo pata shida!
 
Wanawake wengine vichwa vyenu sijui vina nini

Ndio maana hawa wanaume wanawafirigisa weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee


Achana na mume wa mtu....tulia utapata wako wa kufanana nae
 
Sasa nyie huyu mtoto mnamshauli nini Zaidi ya arudi shule akasome. Miaka 18 kwa tz bado huyu mtoto tu, kutembea na mme wa mtu hujui hanafanya nini Kwanza. Kasome wanaume wapo na utapata wako kwa muda muafaka. Go back to school ndogo wangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom