Naombeni ushauri ndugu zangu

Unaweza kuta alieokota anakucheke kimoyo moyo

jinsi dhabi zako zilivyo za kitoto....

Huku yeye zake ni kubwa mno lol

suppose ni mkeo lol

Hahahahahahah The Boss unauaa mkubwa.

Kweli unastahili kucheka kwa vile kwa kifupi nimepoteza dhambi zangu. Itabidi uninunulie Ipad nizihifadhi kwenye advanced way

Sijawahi sikia mtu anaandika dhambi
Chini .. naomba kuulza je uliandika
Jina lako kwenye karatasi?

My dear we unahitaji invisible notebook

Nimekumbuka kitu..
Kwa sasa kabla hujapata hiyo Ipad...
Fanya hivi..
1. Kamua limao
2. Toa matetere na majongololo yote
3. Brash yenye ncha ndogo
( kijiti kama huna brash )
4.karatasi ( mistari au la haijalishi)

Andika dhambi zako hapo acha ikauke
Maandishi yote yatapotea ukitaka kusoma..
Weka juu ya jiko la mkaa moto .. utaona
Maandishi yote..

Usiweke karibu sana ..
maandishi yatajitokeza kama rangi ya yellow
Hivi....

Haya baadaye.. :)

Bora yeye ndio aniulize nitamwambia nilikuwa nafwatilia mahubiri hizo ni minutes za mhubiri. Ushauri wako ni sawa na kujivua gamba(unauma sana)
Hahaha!.. Kazi unayo! Endelea kumezea hivyo hivyo mpaka akuulize... Natamani kujua uliandika dhambi gani kwenye hiyo karatasi?.. Yawezekana kama alivyosema the boss, mwenzio anakucheka kwa jinsi dhambi zako zilivyo ndogo... Pole

Poa kaka we usijali kama walivyokuambia wengine next time utumie hata flash yenye lock ili siku ya kuaungama ndo uprint

Dhambi zenyewe zilikua za aina gani?!Maana unaweza ukawa unapata presh bure au uko bize na JF wakati mama mwenye nyumba anakupangia namna...

Nimekumbuka kitu..

Kwa sasa kabla hujapata hiyo Ipad...

Fanya hivi..

1. Kamua limao

2. Toa matetere na majongololo yote

3. Brash yenye ncha ndogo

( kijiti kama huna brash )

4.karatasi ( mistari au la haijalishi)

Andika dhambi zako hapo acha ikauke

Maandishi yote yatapotea ukitaka kusoma..

Weka juu ya jiko la mkaa moto .. utaona

Maandishi yote..

Usiweke karibu sana ..

maandishi yatajitokeza kama rangi ya yellow

Hivi....

Haya baadaye..

Hahahahahahahahah aisee ur very funny

Kwanza nakupa pole sana kaka, ila mimi naona ukiwa unaandika utakuwa unajihukumu mwenyewe badala ya kutubu coz unaweza ukaandika halafu ukasahau kabisa kama kuna dhambi umeandika somewhere, huo muda wa kuandika hebu tubu. Na nakushauri acha tabia ya kuandika dhambi, coz unaweza ukaandika halafu imagine unakufa b4 hujatubu hiyo dhambi, kumbuka mwanadamu hana mkataba wa kuishi na Mungu. Nakushauri pia acha kufikiria tena hiyo karatasi, endelea na mambo mengine incase mkeo akiiona utamjibu accordingly

Ndg wana JF

Najua wengi mna hasira kali na mgomo wa wakubwa wa mafuta.
Lakini naomba mchukue dakika zenu chache mnishauri.
Kwa kawaida nikitenda dhambi huwa naandikaga mahala ili kuepusha adha ya kusahau ili mwisho wa mwezi nikaungame kwa padre. Sasa ile karatasi ya mwezi uliopita imepotea nimetafuta hadi nimechoka. Sasa wasi wasi wangu ni je kaikota nani? Na najua mazingira ya upotevu ni ya nyumbani kwangu, siitokagi na hio dossier ya dhambi nje ya nyumba yangu labda siku naenda kuungama.

Mazingira kama haya mtu unafanyaje?

Jinyonge dhambi zako za kifisadi zimesababisha Mgawo wa umeme na Mafuta hakuna

Yaani nguli kwa kweli umeniacha hoi, kikaratasi cha nini
hata mkeo kakuona wa ajabu

Jinyonge dhambi zako za kifisadi zimesababisha Mgawo wa umeme na Mafuta hakuna

Ndugu Mchungaji, dhambi zangu ni ndogo x2 sana, sidhulumu mali za mtu au uma, sili rushwa na naipinga sn, ni udhaifu wa kawaida kama kukasirika etc ila sio kuhujumi uchumi. Usinivunjie heshima yangu na dr. Slaa tunaheshimiana sana.

Dhambi zenyewe zilikua za aina gani?!Maana unaweza ukawa unapata presh bure au uko bize na JF wakati mama mwenye nyumba anakupangia namna...

Dhambi za wastani, za kati. Ikiwemo kutamani shairi lako ulilonitungia juzi.

Yaani nguli kwa kweli umeniacha hoi, kikaratasi cha nini

hata mkeo kakuona wa ajabu

Shantel, mambo vipi? Ina maana my wife wangu kajua? Naomba twende PM?

Dhambi za wastani, za kati. Ikiwemo kutamani shairi lako ulilonitungia juzi.

Hahahaha...kumbe hata ile ni dhambi?!Nwy sasa wasiwasi wa nini?!Mi nlidhani umeandika na mkopo uliochukua kwaajili ya nyumba ndogo humo!!!

Ndg wana JF

Najua wengi mna hasira kali na mgomo wa wakubwa wa mafuta.
Lakini naomba mchukue dakika zenu chache mnishauri.
Kwa kawaida nikitenda dhambi huwa naandikaga mahala ili kuepusha adha ya kusahau ili mwisho wa mwezi nikaungame kwa padre. Sasa ile karatasi ya mwezi uliopita imepotea nimetafuta hadi nimechoka. Sasa wasi wasi wangu ni je kaikota nani? Na najua mazingira ya upotevu ni ya nyumbani kwangu, siitokagi na hio dossier ya dhambi nje ya nyumba yangu labda siku naenda kuungama.

Mazingira kama haya mtu unafanyaje?

Nalikuja kuokoa walewaliopotea usiogope kijana Mungu anakuitaji rekebisha ukae sawa

Uzinzi ndiyo dhambi mbaya. Andika ulifoji cheque, uliiba pesa kweye akaunti ya mtu uone kama wife atasema kitu ataona ni bonge la mwanaume. Sasa kosea useme nililala na Fatuma nyundu, kesho yake ukaenda kwa Mwajuma ukurutu, weekend ukaspend na Asha ngedere!! utaona reaction.

Ndg wana JF

Najua wengi mna hasira kali na mgomo wa wakubwa wa mafuta.
Lakini naomba mchukue dakika zenu chache mnishauri.
Kwa kawaida nikitenda dhambi huwa naandikaga mahala ili kuepusha adha ya kusahau ili mwisho wa mwezi nikaungame kwa padre. Sasa ile karatasi ya mwezi uliopita imepotea nimetafuta hadi nimechoka. Sasa wasi wasi wangu ni je kaikota nani? Na najua mazingira ya upotevu ni ya nyumbani kwangu, siitokagi na hio dossier ya dhambi nje ya nyumba yangu labda siku naenda kuungama.

Mazingira kama haya mtu unafanyaje?

Kwa upande wangu naona tatizo ulonalo sio kupoteza hio orodha yako ya the so called madhambi... tatizo hasa lipo kwenye fact kua hua unaorodhesha madhambi yako.... (Nguli if you really do this.... hii ni serios issue....)... Yaani watu wa namna hii bana ni rahisi saana hata Kujimaliza... (I am sorry kama nitasema kitu hujapenda...)... IMO Work on your complexity ya kupima mambo kama hili ni dhambi na hili sio - unaishi maisha magumu mno (hata kama una kila kitu) for moyo kua relaxed is one of the ingredients za kua happy... Please naomba jiangalie upya..

Similar Discussions

Back
Top Bottom