Naombeni ushauri, huyu ni mwanamke sahihi kwangu?

cathedral

Member
Apr 13, 2018
12
60
Habari ndugu na jamaa wa JF?

Nimekua nikifatilia humu JF kwa muda kuhusu ndoa, naamini humu kuna watu wana uzoefu mkubwa sana kuhusu ndoa tunaweza kushauriana mambo kadhaa.

Mimi ni kijana amabe nipo below 30 age nimeoa mke ambae ninamzidi mwaka 1, mimi na mke wangu wote tunalingana elimu ila mimi nina kazi yeye bado hajapata kazi, na tuna mtoto 1, tunaishi maisha ya wastani sio mabaya wala mzuri sana ila tunachokitaka tunakipata kwa muda tunaotaka.

Sababu ya kuja kwenu ni wife, nikiri kua kabla ya kumuoa huyu bi dada ambae ni mke wangu, nilikua nimesha fahamu hizi tabia zake (uvivu, dharau) nilijua atabadilika,mybe hapa ndio nilikosea. Mke wangu hafanyi kazi yoyote ndani, naweza kwenda kazini asubuhi na kurudi jioni nikakuta hajafanya chochote zaidi ya kucheza na mtoto hii ata before hatujapata mtoto, nikawa napotezea naingia mwenyewe jikoni napika tunakula wote nafanya na kazi nyingine(NB. nimewahi achana na mahusiano kama haya b4 , nimejaribu kuongea nae sana, but anabadilika week moja anarudia tabia yake)

Sasa last week nilipata likizo kazini, nikamua niende home kupumzika na wife, wazazi na wadogo zangu wafahamie na wife kwa muda, baada ya kufika home, wife hafanyi kazi yoyote yeye ni kulala na kuchati nimejaribu sana kumwambia hili, hata kabla hatujaenda home imefikia hatua naamka mimi mapema nafanya kazi zote kabla wazee hawajamka, wakiuliza nasema ni wife japo sio kweli.

Juzi ijumaa mzee kaniita (mzee ni mshikaji kwangu hatufichani kitu nadhani watoto wa laini za jeshi wanaelewa) kanambia dogo unapotea huyu mwanamke achana nae afu kaondoka nikabaki na mshangao!

Jumamosi familia nzima wakaenda kanisani mimi na wife tuliamua kubaki, mama yangu kamwambia mkwe wakwe (mke wangu) nikute chakula kimeiva (mama yangu ana madonda ya tumbo anakula kwa mda) wife kasema sawa baada ya mama kuondoka wife kaingia chumba tulichopewa kaanza kuchati mpaka saa sita, nikamuliza wew si umeambiwa na mkweo akute chakula na sasa hivi saa sita maana saa saba anatoka kanisani, kanijibu kwaiyo me nifanye nini? Sijawahi mpiga mke wangu but nilimkonga kofi moja ambalo hata mimi sikujua limetoka vipi.

Naombeni ushauri hivi huyu ni mwanamke sahihi kwangu, atabadilika au niachanane nae?

Anything ruksa, matusi na kejeli.
 
Huo ni upande mmoja wa shilling wa mapungufu yake, hebu elezea na ubora wake kilichokuvutia mpaka kumuowa ili tuweke mizani upewe ushauri stahiki.
 
Uvivu na Ndoa= uchungu maishani.

Kuna wanaume pia wavivu wameacha wanawake ndio wanahudumia familia kwa kuwa wanawake huwa hawaachi watoto.

Sasa inapokuja Mvivu ni mwanamke aisee kazi unayo.
 
Bado unateseka na Uvulana, ukifika katika Uanaume utamfukuza mapema sana.

Nakutakia maumivu makali sana ya kusalitiwa na kudharauliwa maradufu ya hapo ili ukomae kiakili.
 
Kaka bila kupepesa Macho Mimi Rastaman sina uzoefu sana kwenye ndoa.
Fikiria Mke unapomuoa anatakiwa awe na furaha na ndoa y.ake hivyo ataitumikia kwa nguvu zake zote, kwa moyo wake woote. Hilo kwa mke wako halipo.

Fikiria tena, mke wako mna elimu sawa. Leo hana kazi hata mia hana akija ajiriwa akashinda kazini akachoka na akaingiza mpunga.....jiandae kulea watoto sio wako.

mke mwenye dharau bora uoe mke mchawi mwente heshima.
Habari ndugu na jamaa wa JF?

Nimekua nikifatilia humu JF kwa muda kuhusu ndoa, naamini humu kuna watu wana uzoefu mkubwa sana kuhusu ndoa tunaweza kushauriana mambo kadhaa.

Mimi ni kijana amabe nipo below 30 age nimeoa mke ambae ninamzidi mwaka 1, mimi na mke wangu wote tunalingana elimu ila mimi nina kazi yeye bado hajapata kazi, na tuna mtoto 1, tunaishi maisha ya wastani sio mabaya wala mzuri sana ila tunachokitaka tunakipata kwa muda tunaotaka.

Sababu ya kuja kwenu ni wife, nikiri kua kabla ya kumuoa huyu bi dada ambae ni mke wangu, nilikua nimesha fahamu hizi tabia zake (uvivu, dharau) nilijua atabadilika,mybe hapa ndio nilikosea. Mke wangu hafanyi kazi yoyote ndani, naweza kwenda kazini asubuhi na kurudi jioni nikakuta hajafanya chochote zaidi ya kucheza na mtoto hii ata before hatujapata mtoto, nikawa napotezea naingia mwenyewe jikoni napika tunakula wote nafanya na kazi nyingine(NB. nimewahi achana na mahusiano kama haya b4 , nimejaribu kuongea nae sana, but anabadilika week moja anarudia tabia yake)

Sasa last week nilipata likizo kazini, nikamua niende home kupumzika na wife, wazazi na wadogo zangu wafahamie na wife kwa muda, baada ya kufika home, wife hafanyi kazi yoyote yeye ni kulala na kuchati nimejaribu sana kumwambia hili, hata kabla hatujaenda home imefikia hatua naamka mimi mapema nafanya kazi zote kabla wazee hawajamka, wakiuliza nasema ni wife japo sio kweli.

Juzi ijumaa mzee kaniita (mzee ni mshikaji kwangu hatufichani kitu nadhani watoto wa laini za jeshi wanaelewa) kanambia dogo unapotea huyu mwanamke achana nae afu kaondoka nikabaki na mshangao!

Jumamosi familia nzima wakaenda kanisani mimi na wife tuliamua kubaki, mama yangu kamwambia mkwe wakwe (mke wangu) nikute chakula kimeiva (mama yangu ana madonda ya tumbo anakula kwa mda) wife kasema sawa baada ya mama kuondoka wife kaingia chumba tulichopewa kaanza kuchati mpaka saa sita, nikamuliza wew si umeambiwa na mkweo akute chakula na sasa hivi saa sita maana saa saba anatoka kanisani, kanijibu kwaiyo me nifanye nini? Sijawahi mpiga mke wangu but nilimkonga kofi moja ambalo hata mimi sikujua limetoka vipi.

Naombeni ushauri hivi huyu ni mwanamke sahihi kwangu, atabadilika au niachanane nae?

Anything ruksa, matusi na kejeli.
 
Wanawwke

wanawake wengine hata kama wana mapungufu yao lakini wakienda ugenini hasa Ukweni watajitahidi kuyaficha kwa gharama yoyote ili asimwaibushe Mume wake. Huyo wa kwako anajiamini nini?

Anakudharau wewe hadi familia nzima.

Kama unapenda sana Papuchi basi kashakuona wewe ni mtumwa na anajua huwezi kumwacha.

Lazima uoe mwanamke umfanye asiwe na Plan B.

Wa kwako ana Plan A, B, C, na D na haoni hasara kukupoteza.

Sasa fanya hivi
1. Jikaze kabisa na uamue kuwa Mke wangu sasa anza kubadilika. Swala la kazi za nyumbani ni la msingi wala halihitaji mtu kuambiwa hata Mama samia anafanya kazi zake za domestic.

2. Mpe muda pengine kuna jambo linamtatiza, ikiwa hata badilika ndani ya muda utakaompa mwambie wazi kuwa hauko tayari kukaa na mwanamke mvivu.....kumbuka safari bado ndefu.

3. Utakapomwambia kuwa hauko tayari kukaa na mvivu atakwambia....amaua unachotaka......hapa kama unapenda chini lazima utishike na atasema hivyo kwa kuwa anakujua. Sasa wewe endelea kukaza na mwambie niko tayari hata ukiondoka. Tena mwambi kabisa sikutaki ondoka hata leo. Usitishike amua kama mwanaume.

Ukishidwa kufanya haya jiandae kulet nyuzi nyingine ya Kataa ndoa
 
Mwanamke mda mwingi anautumia kuchati,, kazi za nyumbani hafanyi hata moja,,, wewe ndo umekuwa fatuma kazi zote zako halafu ulivyo boya na lijinga hujawahi hata kufatilia huo muda wote anaokuwa anachati, ni nani anayekuwa anachati naye asee mbona unakuwa Lofa kiasi hicho we jamaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom