Naombeni ushauri kaka zangu sihitaji matusi

Bei rahisi Electronicks

Senior Member
Joined
Nov 24, 2025
Posts
167
Reaction score
393
Wakuu samahani Mimi mdogo wenu naitaji ushauri wa haraka ,Kuna demu alinisumbua kama mwezi hivi alikula vyangu jana akasema anakuja magetoni nikaona nimkomoe nikaenda kununua mkongo ili nimkomoe hii ni mara yangu ya kwanza kutumia mkongo, nilitaka nimkomoe nikaupaka kwenye uume wote maelekezo yanasema baada masaa 2, Chakushangaza demu kafika hamu nnasikia kwa mbali sana alafu uume umekua lege lege

Kila nikijaribu kuingiza uume unalegea ila hamu nnasikia

NAOMBENI USHAURI KAKA ZANGU SIHITAJI MATUSI TANGU JANA MPKA SASA NAOGOPA TATIZO LITAKUA NINI DEMU KAONDOKA KWA HASIRA MWENY UFAHAMU
 
Ulipania kupita kiasi ukashikwa na kimuhemuhe .. Ni hali ya kawaida hiyo
 
Kwanza tujue huyo demu ana shepu gani, kuna shepu zikija geto stimu hukatika anapokuvulia nguo.
 
Au hukula msosi wa kushiba mjuba? Kama hukula msosi ukashiba lazima uaibike tu kwa demu atakapokuja geto. Shoo utataka kupiga ila mashine itazingua kutokana na mzunguko wa damu kuwa mdogo, hutadindisha. Uwe unakula kwanza unapoenda kupiga show
 
Kutokana na ID yako, hili hapa jibu

Inabidi ujue mzunguko wa shughuli unayoitaka ili uwezo kuwa kupamga nguvu inayotakiwa


t1 – capacitor charge “ON” time is calculated as: Hapa ni nguvu ya mboro ya mboro kusimama



t2 – capacitor discharge “OFF” time is calculated as: Hapa ni kusinyaa kwa mboro



Total periodic time ( T ) is therefore calculated as: Hapa ni muda mboro itasimama



The output frequency, ƒ is therefore given as:



Giving a duty cycle value of:

,
Jibu inaonyesha, una asilimia 60% kufanikisha tendo, hivyo asilimia zilizobaki zinakuanguasha
 
Kutokana na ID yako, hili hapa jibu

Inabidi ujue mzunguko wa shughuli unayoitaka ili uwezo kuwa kupamga nguvu inayotakiwa


t1 – capacitor charge “ON” time is calculated as: Hapa ni nguvu ya mboro kusimama



t2 – capacitor discharge “OFF” time is calculated as: Hapa ni kusinyaa kwa mboro



Total periodic time ( T ) is therefore calculated as: Hapa ni muda mboro itasimama



The output frequency, ƒ is therefore given as:



Giving a duty cycle value of:

,
Jibu inaonyesha, una asilimia 60% kufanikisha tendo, hivyo asilimia zilizobaki zinakuanguasha
 
Ushauri unaokustahili ni kutukanwa kama hutaki matusi maana yake hutaki ushauri
 
eti hamu nasikia kwa mbali.....punguza pombe kali na punyeto
 
Nisikilize mwanaume wa ukweli hakai ukweni
Ukweni ukiwa na maana ipi?! Kwa wakwe zangu ni pwani rufiji, bado shamba nikaona mbona kama pana ka fursa! Kabla ya mimi kugeuzwa fursa! Basi nikatia nguvu nikapata vihekari takribani 30!. Nataka nivitie korosho karafuu nitajaribu pia parachichi kipori kingine kidogo ntatia mizinga kadhaa tu ya nyuki, nitoe na kageto nitulie huko nifuge kuku na mbuzi na ng’ombe mmoja wa maziwa! Nijiepushe na purukushani za watawala na watawaliwa je bado nitakuwa naishi ukweni?!
 
Enh kumbe mkongo inapakwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…