Naombeni ushauri jamani

thx dia so kwako umri huo si tatizo eti eeeeeeeeh?

umri jamani tusione kama sio kikwazo kiivyo,tukubali na ukweli tu!tofauti ya umri ikizidi sana ni kiwazo katika mahusiano kwani mnakuwa mnapishana mengi kimtazamo!matokeo yake ndo kama hivyo, unaolewa na kibabu na bado unatafuta mtu wa kukumalizia hamu yako ya ngono nje!
 
45yrs tayari anaitwa babu?
 
thx for ur advise dia be blessed,kiukweli tulikuwa tunaomba sana Mungu maana she is my best friend so I knw alivyokuwa anajiskia kwakweli

You are most welcome Pearl inawezekana Mungu ndio amejibu maombi yake sometimes unaweza ukawa unaomba Mungu akupe kitu fulani then akakupatia lakini still ukawa una doubt kama ni kweli tayari ameishajibu maombi yako kwahiyo cha muhimu she has to follow her heart akianza kuangalia suala la umri she will not get far the most important thing is the BEHAVIOR ya huyo jamaa
 
Kuna kipindi hapa ilikuja mada watu wakawa wanasema ni vizuri hata ukiwa unamzidi mwanamke hata ikibidi miaka kumi na kuendelea sasa sijui kwanini kwa huyu mdada inakuwa big deal kwenye hiyo age anayozidiwa na huyo mtu.
 
Naombeni ushauri wenu jamani,mimi ni msichana wa miaka 27 sasa,kwakweli nimekuwa nikimuomba Mungu sana anipe mume mwema,mwenye kunijali,kuniheshimu kunipenda mm na familia yangu,ingawa kuna mkaka nimekuwa nikimdate for 3yrs sasa lkn namuona hayuko serious yani mfano wote tuko dar mwezi mzima hatuonani ukiuliza eti ni ubusy,wknd wala haulizi niko wapi au na nani,miaka yote hii familia yake hakuna hata anaenifahamu lkn mm kwetu watu wooote wanamfahamu,kuhusu ndoa anasema yy bado yupo yupo sanaaaaaaaaaaaaa,kiukweli sitaki kuwaza kama ana cheat yy na Mungu wake ndo wanajua,sasa ni mwezi wa pili sasa nimepata mtu anaenipenda sana na kunijali mm na familia yangu na anasema yuko tayari kunioa yy anamiaka 45,sasa jamani je niolewe na huyu labda Mungu kajibu maombi yangu,na yule mwingine nimwambiaje?je umri nao si kikwazo?naombeni ushauri wenu .
NB:SI MM JAMANI NI RAFIKI YANGU KANITUMIA HIYO MAIL NIMEEDIT KIDOGO.

Please, be very careful.......! Huyo ambaye yuko busy si wake. Na huyu mwenye miaka 45, wakati yeye ana miaka 27 naye siye.....!

Please, note that "May be God wants us to meet a few wrong people before meeting the right one so that when you finally meet the right person you will know how to be grateful for that gift".
 
Kwa nini .toa ufafanuzi wa kutushawishi.
 
Please, be very careful.......! Huyo ambaye yuko busy si wake. Na huyu mwenye miaka 45, wakati yeye ana miaka 27 naye siye.....!

Please, note that "May be God wants us to meet a few wrong people before meeting the right one so that when you finally meet the right person you will know how to be grateful for that gift".

Mhhhh :confused2:Clarification please
 
Mwanamke 27 : Mwanaume 45 - Hapo hamna ndoa bali ni mkataba tu wa "Sogea Tuishi":

Hivi Marubani wa Ndege uwa hawaoi? Najaribu ku-imagine "u-busy" wao!

Je inatakiwa kuonana na mchumba wako mara ngapi kwa mwezi? kwa wiki? Nadhani lazima tukubali kuwa "frequencies" za kuonana does not necessarily signifies TLC...
 
yupi ndie sasa? hao 30's waoga kuoawa,hawasemi kweli wanaishia kusema bado wapo wapo... mdada hakuna cha age hapo, olewa kama umeridhika na muoaji, utakaa useme upate huyo wa age mnayoendana akawa utata mtupu, olewa kama unamuona baby anakufaa.
 
ukimaanisha nini?...yaani utata gani, huyu wa 45 angetakiwa awe na mtu wa namna gani na huyo 27 angetakiwa awe na mtu wa namna gani kuzuia utata?
 
Mwanamke 27 : Mwanaume 45 - Hapo hamna ndoa bali ni mkataba tu wa "Sogea Tuishi":

Hivi Marubani wa Ndege uwa hawaoi? Najaribu ku-imagine "u-busy" wao!

Je inatakiwa kuonana na mchumba wako mara ngapi kwa mwezi? kwa wiki? Nadhani lazima tukubali kuwa "frequencies" za kuonana does not necessarily signifies TLC...

Nani kasema? Duh watu ikija kwenye miaka wanakuwa na issues kweli
 
Mhhhh :confused2:Clarification please

Kuna uwezekano akakutana na bibi mkubwa! Au afike nyumbani awakute vijana wa kazi huko, aangalie basi asije akageuza nafasi huko atakapokwenda... Aidha, ajiridhishe vya kutosha kwanini huyu wa miaka 45 bado ana nafasi...! something must be behind the window!
 
yupi ndie sasa? hao 30's waoga kuoawa,hawasemi kweli wanaishia kusema bado wapo wapo... mdada hakuna cha age hapo, olewa kama umeridhika na muoaji, utakaa useme upate huyo wa age mnayoendana akawa utata mtupu, olewa kama unamuona baby anakufaa.

sasa hapo unaolewa kwasababu unalazimishwa na mazingira yaliyopo au kwasababu ya mapenzi?????so funny!
 
yupi ndie sasa? hao 30's waoga kuoawa,hawasemi kweli wanaishia kusema bado wapo wapo... mdada hakuna cha age hapo, olewa kama umeridhika na muoaji, utakaa useme upate huyo wa age mnayoendana akawa utata mtupu, olewa kama unamuona baby anakufaa.
Tena ndo hawa hwa wanatoga ushauri hapa na kusema wanaume 30's washaoa karibu wote.Na leo wanasema 45 ni kibabu....Na mie naunga mkono mdada aolewe kama conditions nyingine zipo ok.
 
duh boyfriend hakutafuti mwezi mzima!! naomba huyo jamaa aachwe dakika hii tena asijisumbue ata kumjulisha yani ata sh. 40 ya msg asipoteze kutumia msg kumjulisha lo:mad2:h inaudhi sana
 
Naombeni ushauri wenu jamani,mimi ni msichana wa miaka 27 sasa,kwakweli nimekuwa nikimuomba Mungu sana anipe mume mwema,mwenye kunijali,kuniheshimu kunipenda mm na familia yangu,ingawa kuna mkaka nimekuwa nikimdate for 3yrs sasa lkn namuona hayuko serious yani mfano wote tuko dar mwezi mzima hatuonani ukiuliza eti ni ubusy,wknd wala haulizi niko wapi au na nani,miaka yote hii familia yake hakuna hata anaenifahamu lkn mm kwetu watu wooote wanamfahamu,kuhusu ndoa anasema yy bado yupo yupo sanaaaaaaaaaaaaa,kiukweli sitaki kuwaza kama ana cheat yy na Mungu wake ndo wanajua,sasa ni mwezi wa pili sasa nimepata mtu anaenipenda sana na kunijali mm na familia yangu na anasema yuko tayari kunioa yy anamiaka 45,sasa jamani je niolewe na huyu labda Mungu kajibu maombi yangu,na yule mwingine nimwambiaje?je umri nao si kikwazo?naombeni ushauri wenu .
NB:SI MM JAMANI NI RAFIKI YANGU KANITUMIA HIYO MAIL NIMEEDIT KIDOGO.

Duh, kabla sijasoma hiyo NB, moyo ulinipiga paah..nikataka uni-PM fasta! lol
Anyways, kwanza kabisa huyo rafiki yako amtoa huyo jamaa yake wa kwanza kwenye ramani kwa sasa. Anampotezea muda tu. Pili, muulize rafiki yako kama anaweza kuishi na huyo jamaa yake wa pili (wa sasa) kwa maana ya kwamba ataweza lifestyle yake hiyo ya kusafiri safiri? kuhusu ishu ya umri sio tatizo kubwa kihivyo maana kwa miaka 45 mwanaume ni kijana kabisa!:smile-big:
 
Naombeni ushauri wenu jamani,mimi ni msichana wa miaka 27 sasa,kwakweli nimekuwa nikimuomba Mungu sana anipe mume mwema,mwenye kunijali,kuniheshimu kunipenda mm na familia yangu,ingawa kuna mkaka nimekuwa nikimdate for 3yrs sasa lkn namuona hayuko serious yani mfano wote tuko dar mwezi mzima hatuonani ukiuliza eti ni ubusy,wknd wala haulizi niko wapi au na nani,miaka yote hii familia yake hakuna hata anaenifahamu lkn mm kwetu watu wooote wanamfahamu,kuhusu ndoa anasema yy bado yupo yupo sanaaaaaaaaaaaaa,kiukweli sitaki kuwaza kama ana cheat yy na Mungu wake ndo wanajua,sasa ni mwezi wa pili sasa nimepata mtu anaenipenda sana na kunijali mm na familia yangu na anasema yuko tayari kunioa yy anamiaka 45,sasa jamani je niolewe na huyu labda Mungu kajibu maombi yangu,na yule mwingine nimwambiaje?je umri nao si kikwazo?naombeni ushauri wenu .
NB:SI MM JAMANI NI RAFIKI YANGU KANITUMIA HIYO MAIL NIMEEDIT KIDOGO.
hapo kwenye blue kuwa makini sana bado ni mapema mno kusema ankupenda saaaaaana

hapo kwenye nyekundu kwa umri huo lazima awe serious jamani. Lol!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom