Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 25,575
- 73,822
Tuhame hapa tunaharibu uzi wa mwenye anxiety 😟Kaa macho tuchat
Tuhame hapa tunaharibu uzi wa mwenye anxiety 😟Kaa macho tuchat
Umejuaje ninahisi sikusiliziHaha mimi shida yangu nakua msikilizaji tu kuchangia kwangu ni kidogo mno, unaweza ukahisi labda nlikua sikusikilizi
Nakua mzito sana kureply sasa nadhani sometimes nnae ongea nae anaweza kuhisi nashindwa kureply kwasababu labda nlikua simsikiliziUmejuaje ninahisi sikusilizi
Pumbavu sio kweli, kama vipi vunga, una mimba changaNakua mzito sana kureply sasa nadhani sometimes nnae ongea nae anaweza kuhisi nashindwa kureply kwasababu labda nlikua simsikilizi
Unamaana gani mkuuPumbavu sio kweli, kama vipi vunga, una mimba changa
Umeshapiga bia mkuu ?Hauna lolote na mshana atakupiga kamba tu
Yeah kwani kipi kiarabu hapo?Umeshapiga bia mkuu ?
Daah ninawale watu ambao hua nasalimiana nao tu mkuuMkuu una marafiki?
Pole aisee. Wewe ni kama mimi tu.🤣🤣Daah ninawale watu ambao hua nasalimiana nao tu mkuu
Hii hali hua inaniwazisha sana, lakini kuhusu marafiki mimi sio muumini sana wa kujenga urafiki, napenda kuwa mimi zaidi.Pole aisee. Wewe ni kama mimi tu.🤣🤣
Kuna muda unanitemea nondo mwanangu mpaka nafurah....Usiisubiri siku ambayo utafeel confident ndipo uanze kuongea na watu, anza hata ukiwa na wasiwasi. Kubali tu kwamba wakati mwingine unaweza kukosea, kukataliwa au mazungumzo yasiende vizuri, na hiyo ni kawaida.
Affirmative!Kuna muda unanitemea nondo mwanangu mpaka nafurah....
Nina offer yako hapa kama passport yako bado ni valid,tuondeke blueivy arena tukaangalie uzinduzi wa "HOUSE OF DRAGON season 3?
AsanteMeditation can heal ur problem
Pia kama hauongei sana kuwa mwandikaji mzuri
Use ur pen instead of mouth.