- Thread starter
- #21
Lazima kuna sababu ya kumfanya aweke...kwan picha ina tatizo gani?
Kwa mfano sababu gani
Lazima kuna sababu ya kumfanya aweke...kwan picha ina tatizo gani?
Asepe, aende wapi?
Tena mwambie asiwe anaenda kwa jamaa bila taarifa anaweza kukuta magumu zaidi chumbani kunako 6/6!
Wanawake mmezidi kuwa ving'ang'anizi sana papuchi yako kwann ujirahisi namna hiyo?
Stupi.d girl! Ataisoma namba kubembeleza ndoa.
Happy Sunday fruity pebbles...:A S 103:
Hakuna mapenzi hapo anamtumia tu, atakuja kusikia huyo kaka kaoa.
Yaani aanze kutafuta maisha mapya bila ya huyo mwanaume.
Kwanza salamu ama baada ya salamu watu wa JF!
Nina rafiki yangu ana matatizo na boyfnd wake, naombeni mnisaidie jmn nimshauri nini maana nabaki njia panda!!!
Huyu dada ana mchumba ambae wapo kwenye mahusiano almost 4 yrs now,ila huyu kaka Ana mwanamke mwingine ambae wamezaa nae ,n the guy alimwambia huyo rafiki yangu Kua walishindwana na mama mtoto wake hvyo now wanalea tu mtoto!
Lkn huyu dada Mara nyingi ananijia na kesi Mara amekuta sms ya yule mama mtt kwenye cmu ya mshkaji,(sms za mapenzi),Mara mama mtoto amefungasha anataka kuhamia kwa mshikaji,Mara aambiwe maneno na watu Kua wanaendelea na huyo mama mtt wake bac tafrani yaan huyo mama mtt anakosesha Amani shoga yangu,lkn mshikaji kila cku amekua akimhakikishia Kua anampenda na acwe na wacwac.
Sasa Jana bwana ametoka kazini akaona apitie kwa mpz kweli akamkuta wakatoka kwenda dinner,waka pitia Sheli ili kuweka mafuta,walipofika Sheli Yule mkaka akatoa walet ili atoe pesa kwa ajili ya kulipia mafuta,alipomaliza akweka walet pale kwenye redio kwa chini walet ilikua haijafungwa mhhh Yule best yangu kuchungulia akakuta picha ya huyo mama mtt,ya mshikaji ,ya mtt wao ,ya mama mkwe,na ya x Galfnd wacku nyingi wa mshikaji,ya kwakwe yy hakuna.
Akauliza vp hizi picha zinasubiri nn kwenye walet yako,jamaaa anaaanza kujikanyaga , shoga angu aka endelea kuuliza akiwa serious sasa jamaa baada ya kuona amezidiwa akaanza kumuwakia na kumpiga,
Is this fear jmn ,mtu umekosa bado unampiga mwenzie,top of that anaanza kumtukana na matuc cjui huyo rafiki yangu malaya ndo maana a natafuta sbb ya kumuacha,shogaa angu Amelia ata kula ameshindwa Jana ucku hawezi chochote nimsaidieje jmn!!!!nimshauri avumilie tu kwa mshkaji maana anampenda kweli mwanaume wake!!!
Poleni kwa uandishi wangu its ma first tym napost so co mzoefu sana ktk uandishi!!!!
Hii ni kwa wewe, rafiki yako na wanawake wote. Mwanaume kuwa na mpenzi mmoja HAIWEZEKANI. Jifunzeni kuchangia kama walivyokuwa wakifanya bibi zetu.
Happy Sunday to you Cheupe.......
Hiiii Kali kwaiyo ata wangu atakua na mwingine!!!uwiiii ni vyema akafanya kwa heshima bac co mpk mm nijue!!!
You like the name fruity pebbles, don't ya? I think it fits you to a tee!
Madam, i don't...
Do you?
mwambie rafiki yako aache ujinga
Hapo anatumiwa tu
Miaka minne bado hashtuki tu?
Asepe