Mtu akizaa na mtu,hawaachani, kwa kuwa wanaunganishwa na mtoto.best yako anaweza achwa, awe mpole tu,
Hii ni kwa wewe, rafiki yako na wanawake wote. Mwanaume kuwa na mpenzi mmoja HAIWEZEKANI. Jifunzeni kuchangia kama walivyokuwa wakifanya bibi zetu.
Hivi ni miaka mingapi hasa inafaa kuwa katika mahusiano alafu ndoa inafuata ili kuondoa huu utata wa kuwa mtu anatumiwa? Hii itasaidia vijana wengi kujitambua kuwa sasa anatumiwa. Ok, kuna watu wamekuwa wachumba kwa miaka 10 afu wameoana weingine miaka sita. Wengine mpaka leo ni wachumba na wamezaa mfano ni Brad Pitt na Angelina Jolie bado ni wachumba so wanapotezeana muda?