Naombeni msaada wa mawazo wadau.

Masue 1

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
661
1,162
Hope mpo pouwa kijana katika harakati za kutafuta maisha nimepangiwa kazi huku kigoma kama mhasibu na shirika fulani hivi la nje NGO's.. Ila lengo langu ni kusoma CPA (T) ila kwa kigoma hamna centre ni mpaka Tabora. Kwa wale wadau wa kigoma naombeni mbinu mliyoitumia na mimi November nipige pepa. Asanteni sana.
 
Nazani unaweza kujisajili kama private ukafanya pepa, pia kuna centre zinaendesha online review classes check na convenant financial consultancy au cornerstone
 
Back
Top Bottom