Nipo Kigoma, ni kwa vipi naweza kufanya mtihani wa CPA?

Masue 1

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
661
1,162
Hope mpo pouwa kijana katika harakati za kutafuta maisha nimepangiwa kazi huku kigoma kama mhasibu na shirika fulani hivi la nje (NGO) Ila lengo langu ni kusoma CPA (T) ila kwa kigoma hamna centre ni mpaka Tabora. Kwa wale wadau wa Kigoma naombeni mbinu mliyoitumia na mimi November nipige pepa.

Asanteni sana.
 
Back
Top Bottom