Naombeni msaada nimechanganyikiwa

Inaonekana jua limesha mchwea huyu...hata nyumbani kwao wameona bora aende tuu..usawa wenyewe wa Magu huu...hivi watu wanafanya mchezo na maswala ya Imanih
Hata simuelewi,natakamani ningemuona face to face nna maswali mengii,haingiii akilini kua wewe mlokole na from day one uko na huyo jamaa am sure jina lake haitwi John wala Hillary umeshindwaje kujua mapema? haya tumuache ajiongeze mwenyewe..
 
Msingi wa ndoa ni upendo,,,dini ipo tu na tuliletewa tu na watu wa nje,,kikubwa ni kuamin kwamba mungu yupo tu,,,ushaur Wang endekea nae don't care abyt religion

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
kwanza wewe ni mpagani wala siyo mlokole, hakuna mlokole ambaye anakuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi kabla ya ndoa.
 
Kwakweli hata uandishi wako unaonekana we ni mstaarabu saanaa.
Ila Mungu ana nguvu sana hakikisha hao wachungaji wanakubali usilazimishe kuolewa bila ridhaa yao. Ndoa nayo ina magumu yake na yanakuwa ya kudumu maisha yako yote.
 
Reactions: THT
Ukweli ni kwamba utachanganyikiwa zaidi ya hapo huyo jamaa atakapo kwambia unatakiwa kubadilisha dini ili uwe muislama....Kama uko tayari kubadili dini wewe usichanganyikiwe lakini asikudanganye akikwambia atabadili dini...hakuna mwanaume mwenye utimamu atabadili dini kisa mwanamke...
Kama unaona uwezi kuachana na ukristo wako achana nae mapema..
Tatizo hapo si wachungaji bali tatizo kubwa ni kwamba wanajua lazima wewe ubadili dini....
Hapo hakuna ndoa bila wewe kubadili dini na kuwa muislam...
Umejiandaa?
 
Siungi mkono wewe kuolewa na Muislamu unless uwe tayari kuiacha IMANI yako. Watu wana sema mapenzi hayachagui DINI, this is too theoretical. Mwezi wa ramadhani wewe unafanyaje? Watoto mtakao wazaa watafuata IMANI ya nani? Hivi unafahamu kuhusu Mirathi waislamu na Wakristo wana misimamo tofauti? Unless ubadiri dini na kumfuata but otherwise nina ungana na msimamo wa viongozi wako wa dini. Remember wakati hu mapenzi lazima yawe motomoto kweli but mkiisha oana then mtazoeana and then mtakua wa kawaida sana. Mapenzi ya uchumba na mapenzi ya wana ndoa yapo tofauti sana.
Mwishoni mwa siku you are the one to decide, nakuachia moyo/akili zako ziamue
 
Reactions: THT
Kwakweli hata uandishi wako unaonekana we ni mstaarabu saanaa.
Ila Mungu ana nguvu sana hakikisha hao wachungaji wanakubali usilazimishe kuolewa bila ridhaa yao. Ndoa nayo ina magumu yake na yanakuwa ya kudumu maisha yako yote.
Asante mkuu

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Axante sana mkuu

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Asante sana mkuu umefumbua macho YANGU. Sasa nachukua hatua

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Hayupo aliyetayari kufata dini ya mwenzake

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
kama ndio hivyo mbona jibu jepesi kabisa...''kila mtu afe kivyake ndio maisha ya mjini,kuzoeazoea watu mwisho ...''
 
Reactions: THT
Badili dini,kwani lazima amkubali yesu?kama hamkubali we mkubali \allah kwni nini?at the end of time utaolewa na mwingine then uje upigwe miti na huyuhuyu,F.u...ck wachungaji!
 
Wachungaji wapo sahihi...Japo watu husema mapenz hayaangalii maana hayana macho...lakini kwenye swala la Imani hapo ndio pa kuangalia sana...Umeokoka au umefuata dini ya wazazi wako...maana mm najua mtu akiokoka huyaacha mambo yote machafu ya zaman na kuwa kiumbe kipya

Sent from my GT-N7000 using JamiiForums mobile app
 
Reactions: THT
Asante mkuu nimekuelewa nitafanyia kazi

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Mkafunge ya kiserikali

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Unampenda nani kuzidi? Yesu au mchumba wako?

Kama unampenda Yesu mfuate anachosema, kama unampenda mchumba wako silimu, mfuate yeye.

Watoto wenu watakuwa dini gani?

Ukristo na uislamu ni dini 2 zenye matokeo na hatma tofauti kabisa. Haziingiliani.

Ukristo unawataka watu waache dhambi wamfuate Yesu uislam unawataka Wakristo wamwache Yesu wamwamini Allah - nafikiri kwa kuanzia waweza kuona tofauti.



LoRd JeSuS ChRiSt - The Creator Of All.
 
Hiyo tafsiri ya mtu asyeamini ni ya uongo. Biblia haijasema mtu asiyeamini ni mwislam au mtu asiyempokea Yesu. Huo ni uongo!
Pia kifo cha msalaba ni laana biblia imesema!

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Biblia iliposema Yesu alibeba dhambi zetu ili tuwe huru ilimaanisha nini?

Kwa uelewa wako dhambi ni Baraka au Laana?

LoRd JeSuS ChRiSt - The Creator Of All.
 
Reactions: THT
jitahid akupe mimba mambo yatakuwa poa

Sent from my GT-I9300 using JamiiForums mobile app
 
Natamani ungejua mke katika uislam anatakiwa aweje.
 
Reactions: THT

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…