Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,028
- 52,505
kuokoka ndo nini? mbona utampa sana shida kaka wa watu .mi naona hata humfai wanawake waliokoka kama mnavojiita ni shida tupu
Tatzo linapokuja ni kwamba bint kapenda sana hata anavyosema ulokole imekuwa kichaka tu..ajipime katika hayo maswali niliyomuuliza halafu afanye maamuzi
Mungu Mmoja tu kwani shida ipo wapi.Wasalaam wana JF, mimi binti Nina tarajia kuwa tabibu hivi karibuni. Ila Nina tatizo Fulani, nina mchumba muislam na mimi ni mlokole, tunapendana sana lakini wachungaji wangu hawamtaki kabisaaa.
Nachanganyikiwa wanadai nimuache, tutafanya maombi nitapata mlokole mwenzangu wananiambia biblia inasema "msifungiwe NIRA na MTU asiyeamini" na MTU asiyeamini ni yule ambaye hajampokea YESU kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yake na haamini kifo cha msalaba, ila wazazi wetu wote hawanashida sasa nifanyeje niko njia panda.
Kama nimekosea undishi mnisamehe sana naombeni mchango wenu
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
NB. Huyu mtu nimeanza mahusiano nae kabla sijaokoka na nimeokoka ukubwani
basi na ajiandae tu badae sababu ndoa si shela japo najua akili yake kwa sasa inawaza ile siku ya chereko chereko yale masaa matatu yale na kusahahu maisha baada ya masaa matatuTatzo linapokuja ni kwamba bint kapenda sana hata anavyosema ulokole imekuwa kichaka tu..
Kwahyo yawezekana hata hayo maswali akaona hayana umuhimu kwasasa
Hajajua kwamba kile ni kifungo suala ni kuchagua gereza zuri au bayabasi na ajiandae tu badae sababu ndoa si shela japo najua akili yake kwa sasa inawaza ile siku ya chereko chereko yale masaa matatu yale na kusahahu maisha baada ya masaa matatu
kabisa akishindwa sasa baadae atakuja kutafuta namna ya kutoka gerezani ikawa ngumuHajajua kwamba kile ni kifungo suala ni kuchagua gereza zuri au baya
Mkuu karibu kwetu kibiti kijiji cha bungukabisa akishindwa sasa baadae atakuja kutafuta namna ya kutoka gerezani ikawa ngumu
Mkuu karibu kwetu kibiti kijiji cha bungu
Kwahiyo kuna Mungu zaidi ya mmoja?
Dada ulokole si shida,shida ni watu kwanza mm kumkiri YESU kuwa bwana na mwokozi wa maisha yangu naona faharii mnoo tena najivunia kuwa mlokole.kama ww unaona ni shida basi ni kwako na si kwawote.kuokoka ndo nini? mbona utampa sana shida kaka wa watu .mi naona hata humfai wanawake waliokoka kama mnavojiita ni shida tupu
Naona unatokwa povu badala ya ushauri, kama vipi pita kimya sihitaji mapovu ila ushauri
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Kweli kabsa. Bora wote muwe na imani moja hii pia itasaidia hata watoto mtakao wapata.Ni hatari sana kuanzisha mahusiano na MTU ambae dini tofauti,kwani at the end mmoja lazima aumie
spend less, save more
Ulokole siku hizi umekuwa kichaka cha mabinti wasaka waume.....hivi mlokole aliyeiva katika imani anaanzaje mahusiano iwe na mtu wa imani yake au hata wa imani nyingine?...huyu binti kaamua kutuuzia chai tuu na kuchafua imani za watu.
Binti tafadhali. Mpenzi ni upofu lakini nakuhakikishia baada ya mwaka mmoja kama utang'ang'aniza hiyo ndio.Wasalaam wana JF, mimi binti Nina tarajia kuwa tabibu hivi karibuni. Ila Nina tatizo Fulani, nina mchumba muislam na mimi ni mlokole, tunapendana sana lakini wachungaji wangu hawamtaki kabisaaa.