Naombeni msaada nimechanganyikiwa

Naombeni msaada nimechanganyikiwa

Wasalaam wana JF, mimi binti Nina tarajia kuwa tabibu hivi karibuni. Ila Nina tatizo Fulani, Nina mchumba muislam na mimi ni mlokole, tunapendana sana lakini wachungaji wangu hawamtaki kabisaaa. Nachanganyikiwa wanadai nimuache, tutafanya maombi nitapata mlokole mwenzangu. Wananiambia biblia inasema "msifungiwe NIRA na MTU asiyeamini" na MTU asiyeamini ni yule ambaye hajampokea YESU kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yake na haamini kifo cha msalaba, ila wazazi wetu wote hawanashida. Sasa nifanyeje Niko njia panda. Kama nimekosea undishi mnisamehe sana naombeni mchango wenu

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
NB. Huyu MTU nimeanza mahusiano nae kabla sijaokoka na nimeokoka ukubwani


Acha ujinga wewe, ukiendekeza dini hata kula utashindwa. Penzi alibaguwi na wala halina rangi, dini, mfupi, mrefu, mwembamba, mnene, na wala kabila japo hili lina utata kidogo. Kama umempenda huyo jamaa yako fuata moyo wako, hao wachungaji wako watakulostisha na kukupatia mwanamme si chaguo lako mwisho wa siku utakuja kujishitukia unatafuta mchepuko. Walokole si watu wa kuwafuatilia, wanajipa matumaini ya hajabu na yasiyo na maana wala msingi. Penzi ni chaguo lako wewe si la wengine.
 
  • Thanks
Reactions: THT
Hamna kitu kinasumbua sana kama kutafuta ushauri hasa kama huo wakati tayari una maamuz yako nafsini.......kwahyo its like you just wanna some people to support you.....openly Madam mpaka umefika huku kuomba ushauri tyr una mgogoro wa nafsin kifupi huna amani na hilo....make its over sababu ye aliye tayr ipoteza nafsi yake Kwa ajili ya kristo ataipata lkn atakayeilinda ataipoteza.....anza upya utapata Mwingine......Jikaze kubali poteza Kwa sasa kile nafsi yako imekishikilia.....hutajutia maamuzi hayo

Sent from my Y4 using JamiiForums mobile app
Axante mkuu

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Hayupo aliyetayari kufata dini ya mwenzake

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Then kwa mtazamo huo subiri mlokole.
kitu kingine jiulize uko tayari kuwa katika ndoa ya wake wengi? kumbuka hii ni sifa moja wapo ya wanaume wa kiislam kuo wake wengi na kuacha ni sekunde.
 
  • Thanks
Reactions: THT
Then kwa mtazamo huo subiri mlokole.
kitu kingine jiulize uko tayari kuwa katika ndoa ya wake wengi? kumbuka hii ni sifa moja wapo ya wanaume wa kiislam kuo wake wengi na kuacha ni sekunde.
Asante sana mkuu

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Yesu alisema mtu yeyote akitaka kunifuata aubebe msalaba wake kisha anifate sasa gharama za kumfata Yesu ndo hizo unless una mambo yako

Sent from my GT-N7105 using JamiiForums mobile app
 
Umechanganyikiwa siyo kwa sababu ya yaliyotokea kwenye huo uchumba, umechanganyika kwa sababu hutaki kuijua kweli!!...... ukiijua kweli nayo kweli itakuweka huru!!...... Kwa kifupi tu ni kwamba hayo yaliyokukuta ni gharama(cost) ya kuokoka!!..........wewe ulifikiri kuokoka kwako hutalipa gharama(cost) yeyote??.... labda nikukumbushe tu kuwa kila jambo zuri lina cost yake!!...... Hayo yaliyokukuta ndo cost yako ya kuokoka unayopasa kuilipa kwa hiyo tulia and bear it!!

Sent from my Armor using JamiiForums mobile app
Nimeupenda huu ushauri ndo mzuri kuliko ktk hii thread

Sent from my GT-N7105 using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: THT
naweka ulokole kule naongea kutokana na baadhi ya watu nao wajua mara nyingi mnapoana dini mbili tofauti mnaishia kwenye conflicts...

upo tayari watoto wako kufuata dini ya baba yao?
kama unaamini kaktika Kristo unajisikiaje kizazi chako kutoa amini huko?
mama weka ulokole pembeni na waislamu hawatambui ndoa ya muislamu na mkristo weka kichwani hilo mama
 
unaolewa ww so ww ndo unatakiwa ujue nn unataka na sio padre
cha msing chunguza ndugu zake(wazaz wake) kama wanakubaliana ww kuolewa na kijqna wao
coz unaeza pata majanga hata kufiwa na mmeo then ukakosa msaada upande wa kiumen kisa hawakuwah bariki mahusiano yenu

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
je dini ya kiislamu inakubali ndoa ya namna hiyo? kila mtu na dini yake?
 
Wasalaam wana JF, mimi binti Nina tarajia kuwa tabibu hivi karibuni. Ila Nina tatizo Fulani, nina mchumba muislam na mimi ni mlokole, tunapendana sana lakini wachungaji wangu hawamtaki kabisaaa.

Nachanganyikiwa wanadai nimuache, tutafanya maombi nitapata mlokole mwenzangu wananiambia biblia inasema "msifungiwe NIRA na MTU asiyeamini" na MTU asiyeamini ni yule ambaye hajampokea YESU kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yake na haamini kifo cha msalaba, ila wazazi wetu wote hawanashida sasa nifanyeje niko njia panda.

Kama nimekosea undishi mnisamehe sana naombeni mchango wenu

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
NB. Huyu mtu nimeanza mahusiano nae kabla sijaokoka na nimeokoka ukubwani


Fuata moyo wako, walokole watakulostisha, hawana maana wale.
 
THT
Sikiliza hisia zako, sikiliza kile kilichomo ndani ya moyo wako na kisha fanya maamuzi. Usijali wengine wanasema nini, heshimu maoni ya wengine lakini mwisho wa siku fanya maamuzi ambayo yametokana na wewe, na sio kwa sababu wengine wamesema hivi au vile. Wewe umekuja hapa kuomba ushauri, cha ajabu badala ya watu kukupatia ushauri, wao wanakuhukumu, wanakukejeli, wanakukasirikia, hii sio sahihi. Ukiona unawaomba watu ushauri na kisha wanahama kwenye mada na wanakutolea sana povu wewe, tambua hapo mwenye tatizo sio wewe, bali tatizo liko kwa hao watoa ushauri.

Ndoa au mahusiano ya kimapenzi hujengwa kwa misingi kwa UPENDO, na kama moyo wako umejaa upendo kwa huyo mwenza wako, na unadhani utapata furaha na amani ya moyoni, nadhani jibu unalo tayari, usiiachie nafasi hiyo inayokupatia upendo, furaha na amani.

Wanaokutisha kwamba ETI ndoa au mahusiano yatavunjika waambie kwamba dini SIO kigezo cha ndoa kuvunjika, waulize ndoa ngapi za watu wa dini moja (Wakristo na Waislamu) zimevunjika? Ndoa ngapi za wanandoa wa dini moja (Wakristo na Waislamu)zimejaa udanganyifu, ugomvi na mifarakano isiyokwisha?! Kuvunjika kwa ndoa au mahusiano ni jambo linaloweza kutokea kwa yeyote bila kujali dini yake, na hata likija kutokea huwezi kulizuia kwasababu halijalishi dini za wana ndoa, kama limepangwa kutokea, litatokea kwa sababu zingine, lakini SIO eti kwasababu ya kutofautiana kidini.

Hongera kwa ujasiri wa kuomba ushauri, natumaini utatumia vizuri ushauri unaopewa hapa ili kufanya maamuzi sahihi.
 
  • Thanks
Reactions: THT
Go slow mtapata suluhisho,binafsi niko kwenye same situation ila naona tunavyoendelea kwendela mbele mambo yanafunguka...
SERIOUS NOTE:
Dont ever listen to your pastors especially on marriage issues...I mean on issues that touches your life as deep as marriage....ukumbuke ishu sio kumpata mlokole mwenzio ishu ni upendo naaridhiano.....binafsi siamin km wanaweza kukupatia mume bora ispokua ww na Mungu wako....so never rely on what they say to u esp kwenye suala la uolewe na nan

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: THT
Pole sana THT
ila ukiona matatizo yanazidi ujue ndo ukubwa huo
 
  • Thanks
Reactions: THT
"ukimkili Yesu kwa kinywa chako na kumkubari kuwa ni Bwana na Mwokozi wa Maisha yako ,Tayari wewe umeokoka"
Ulokole sio dini.Dini ni mkristo kwa maana yakua mfuasi wa yesu kristo na ulokole ni utaratibu wa kiimani ndani ya baadhi ya madhehebu ya kikristo.[/QUO
 
naweka ulokole kule naongea kutokana na baadhi ya watu nao wajua mara nyingi mnapoana dini mbili tofauti mnaishia kwenye conflicts...

upo tayari watoto wako kufuata dini ya baba yao?
kama unaamini kaktika Kristo unajisikiaje kizazi chako kutoa amini huko?
mama weka ulokole pembeni na waislamu hawatambui ndoa ya muislamu na mkristo weka kichwani hilo mama
Kwamaana hyo haumshauri aolewe na huyo ninja au mujahedeen??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom