Naombeni msaada nimechanganyikiwa

Usimkane Yesu kisa mume, kuna maisha baada ya ndoa.

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Mkuu asante sana kwa ushauri wako

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
THT achana na mchungaji liamsheni dude kama wazazi hawana shida, tatizo ni nini

labda nikuulize mwenzio yupo tayari kubadili au wewe upo tayari?
Hayupo aliyetayar kubadili

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Mi naona kama uamuzi unaweza kua nao wewe mwenyewe

Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
 
Hayupo aliyetayar kubadili

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app

kama ni hivyo naona kutakuwa na shida kubwa sana huko mbeleni

unajua mapenzi ya kweli yanahitaji kujitoa sadaka. inashangaza kama hujui hili. maana watoto watakuwaje? watalelewa kwa maadili ya dini ipi? then kuna mmoja wenu hampendi mwenzake kiukweli kweli kama hakuna akliye tayari kumfuata mwenzie, sitaki kusema nani afanye namna gani

Ukiona hivyo ni vema tu ukaanza kufikiria mtu mwingine
 
Duuuh pole sana aseeh...tuliza moyo na ufate kile ambacho unaona no sahihi..ushawishi wa wachungaji usikuzuie kama wazazi wameridhia
 
Reactions: THT
Waulize wachungaji wako hili swali 'Kila dini au dhehebu lina Mungu wake?
Mungu ni mmoja lakini kuna miungu ambayo wengine huiabudu pasipo kujijua hilo lijulikane,hebu fikiria Mungu gani aliyewaumba watu wake mwenyewe then akasema "ukimuua mwingine anakupa thawabu?"

Sent from my HUAWEI Y221-U22 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna andiko anasema Mungu. Huyo ni mtume Paulo ndo kaua watu.

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
St Augustine is one of the greatest Christian minds. His mother was St Monica. She married a man who was not a Christian and he was converted by the power of her persistant prayer as was her son.
Friend, there is no such a thing as a 'greatest Christian mind'. Greatest --- minds belongs to the world!

The so called greatest minds are the ones who allow homosexuality in the church.

Talk about experience you have on cross marriages btn a christian and a muslim? Most of the time a Muslim wins? And i'm asking is there any church that will agree to unite a christian and a muslim? Or a mosque to unite such people?

I always stand on the holy bible teachings than on the human's teachings/experience which are obvious traditions!

LoRd JeSuS ChRiSt - The Creator Of All.
 
Hakuna andiko anasema Mungu. Huyo ni mtume Paulo ndo kaua watu.

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Mtume Paulo aliuwa Wakristo kabla hajawa Mkristo na baada ya kumwamini Kristo mara nyingi waziwazi alionesha kujutia matendo yale!

Mkuu anachozungumzia ni mafundisho ya Quran!

LoRd JeSuS ChRiSt - The Creator Of All.
 
Mtume Paulo aliuwa Wakristo kabla hajawa Mkristo na baada ya kumwamini Kristo mara nyingi waziwazi alionesha kujutia matendo yale!

Mkuu anachozungumzia ni mafundisho ya Quran!

LoRd JeSuS ChRiSt - The Creator Of All.
Wewe ulinielewa mkuu

Sent from my HUAWEI Y221-U22 using JamiiForums mobile app
 
Usimkane Yesu kisa mume, kuna maisha baada ya ndoa.

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Uko sahihi mkuu!

Mambo yakituendea mrama haraka tunamkimbilia, inafaa kuyaishi maneno 'kitu gani kitanitenga na Yesu mwokozi wangu?' kwa hali yoyote ile!
Usimkane Yesu kisa mume, kuna maisha baada ya ndoa.

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app

LoRd JeSuS ChRiSt - The Creator Of All.
 
Reactions: THT
Anaambiwa apige chini mwanaume kwa Gharama ya Imani analalamika..... Kina ahubiri walipokonywa kila kitu mpaka watoto na walichukulia poa... Walokole wa mwendokasi hawa.
 
kabisa akishindwa sasa baadae atakuja kutafuta namna ya kutoka gerezani ikawa ngumu
Kuingia raha sana na rahisi kutoka mpaka mlango upatikane ulishanyooka na kukongoloka juu ni heri nusu shari kuliko shari kamili

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Reactions: THT
Ungejua hizo hizo ndoa zisizo wahusu wachungaji ndiyo kila siku wanasumbuliwa na wana ndoa kesi haziishi kwa wachungaji ndiyo maana wanatoa ushauri kabla wamechoka na kesi badala ya kugegedana huko wanakimbilia makanisani kushauriwa

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Wachungaji lazima wahusike kwani wanapelekewa majukumu ya kufungisha ndoa la wakafungie kwa magu lazima asikilize wachungaji

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…