Umebonyeza link za wakenya.Eid Mubarak ndugu zangu waislamu, I hope mmekula sikukuu fresh.
Hivi kuna uwezekano mtu akahack WhatsApp yako akawa anaona meseji zote zinazoingia? Na je kama huo uwezekano upo nawezaje kuzuia hili maana nahisi kama kuna mtu amenifanyia hivi au anatarajia kufanya hivi naombeni msaada kabla mambo hayajaharibika.
Dah! Kufatiliwa sipendi sana aiseeKuwa mwaminifu tu kwake basi utakua umumesolve
Swaga swaga ndo nini mkuuInaonekana jamaa anayekufuatilia ana wivu alafu na ww ni swaga swaga
Kuna mtu anatumia wasap web iliyo-sign-iwa kwenye akaunti yako.Eid Mubarak ndugu zangu waislamu, I hope mmekula sikukuu fresh.
Hivi kuna uwezekano mtu akahack WhatsApp yako akawa anaona meseji zote zinazoingia? Na je kama huo uwezekano upo nawezaje kuzuia hili maana nahisi kama kuna mtu amenifanyia hivi au anatarajia kufanya hivi naombeni msaada kabla mambo hayajaharibika.
Hamna mkuu sijabonyeza link wala niniUmebonyeza link za wakenya.
Uninstall whatsapp then install upa uanze settings upya
Njia nzuri kabisa kama ataelewa ni ya faster sana unakuwa umeondoa divice ya piliIngia kwenye settings yako ya WhatsApp. Tafuta devices alafu nenda kwenye linked devices unazitoa Zote. Haiwezakani na kamwe haitawezekana ku hack WhatsApp ya mtu yeyote Yule. Alichofanya ameshare WhatsApp yako kupitia WhatsApp web ambapo amaeunganisha WhatsApp yako kwenye PC kama Laptop etc.
Nimeingia hapo nimeletewa hivi sijaona device yoyoteIngia kwenye settings yako ya WhatsApp. Tafuta devices alafu nenda kwenye linked devices unazitoa Zote. Haiwezakani na kamwe haitawezekana ku hack WhatsApp ya mtu yeyote Yule. Alichofanya ameshare WhatsApp yako kupitia WhatsApp web ambapo amaeunganisha WhatsApp yako kwenye PC kama Laptop etc.
Hivi akidelite account kisha akasajili kwa line nyingine hawezi kusaidika?Ingia kwenye settings yako ya WhatsApp. Tafuta devices alafu nenda kwenye linked devices unazitoa Zote. Haiwezakani na kamwe haitawezekana ku hack WhatsApp ya mtu yeyote Yule. Alichofanya ameshare WhatsApp yako kupitia WhatsApp web ambapo amaeunganisha WhatsApp yako kwenye PC kama Laptop etc.
Jina lako linaogopesha mno mkuuFamilia alichokwambia mombasafinest
Ila Binti sayuniiiii
Nikubali Mimi,sitakufanyia hayo mambo
Nielewe mwenzio .... Yaani nimelia sana kuona Binti mzuri kama wewe unateseka hivi
Asante mkuu nilikuwa na wasiwasi bureJambo la kuhack haliwezekani kamwe but anaweza kushare WhatsApp Yako ,kwenye laptop yake au PC yake,
Kwa nini hupendi kufuatiliwa,so why unaingia katika mahusiano??Dah! Kufatiliwa sipendi sana
yaani hubagui,ni kyupi mkononiSwaga swaga ndo nini mkuu
Hata mimi sijaona kabisa mkuuHivi akidelite account kisha akasajili kwa line nyingine hawezi kusaidika?
Maana muongozo ulioitoa, nimeingia kwenye setting ya whatsapp sijaona divices wala neno linked divices!
mama hurumaSwaga swaga ndo nini mkuu
Mimi nataka tuaminiane mambo ya kufatiliana siyo mazuriKwa nini hupendi kufuatiliwa,so why unaingia katika mahusiano??
As long as una mahusiano na mtu na hakuamini amini lazima ufuatiliwe.
Ahsante kwa somo hili. Barikiwa. ππIngia kwenye settings yako ya WhatsApp. Tafuta devices alafu nenda kwenye linked devices unazitoa Zote. Haiwezakani na kamwe haitawezekana ku hack WhatsApp ya mtu yeyote Yule. Alichofanya ameshare WhatsApp yako kupitia WhatsApp web ambapo amaeunganisha WhatsApp yako kwenye PC kama Laptop etc.
πππππInaonekana jamaa anayekufuatilia ana wivu alafu na ww ni swaga swaga