kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,176
Nimblock huyo mtu?Brock
NdioNimblock huyo mtu?
Kwa ninavyojua mimi pesa hapo imetumika sisterEid Mubarak ndugu zangu waislamu, I hope mmekula sikukuu fresh.
Hivi kuna uwezekano mtu akahack WhatsApp yako akawa anaona meseji zote zinazoingia? Na je kama huo uwezekano upo nawezaje kuzuia hili maana nahisi kama kuna mtu amenifanyia hivi au anatarajia kufanya hivi naombeni msaada kabla mambo hayajaharibika.
Kwahiyo hakuna namna ya kuzuia mkuuKwa ninavyojua mimi pesa hapo imetumika sister
Italeta shida hiyo mkuuNdio
Na wewe mhack mkuu muwe mnasomeana wote meseji zenuItaleta shida hiyo mkuu
Mimi sitaki kujua ya kwake sasaNa wewe mhack mkuu muwe mnasomeana wote meseji zenu
Ushahidi wa nini mkuu?Weka kwanza ushahidi ndio tukusaidie ili tuone penye shida
Naomba aje hapa tuongee
Tuone Whatsapp Yako shida ni nini kwanza hakuna hacked ya namna hiyo kule wengi mnapigwa Kwa kugusa link za wahuni Hilo ndio tatizoUshahidi wa nini mkuu?
Kuwa mwaminifu tu kwake basi utakua umesolveEid Mubarak ndugu zangu waislamu, I hope mmekula sikukuu fresh.
Hivi kuna uwezekano mtu akahack WhatsApp yako akawa anaona meseji zote zinazoingia? Na je kama huo uwezekano upo nawezaje kuzuia hili maana nahisi kama kuna mtu amenifanyia hivi au anatarajia kufanya hivi naombeni msaada kabla mambo hayajaharibika.
Basi kaa kwa kutuliaMimi sitaki kujua ya kwake sasa
Mimi sitaki kufatiliwa sasaBasi kaa kwa kutulia
Dah! Kufatiliwa sipendi sanaKuwa mwaminifu tu kwake basi utakua umumesolve