Alipimiwa wapi?Jana ndugu yangu alienda kupima Corona baada ya kupimwa akataka aondoke baada ya kumaliza kupimwa akaambiwa akae kwanza karantini mpaka kesho yake na majibu atapewa hiyo kesho.
Na Mungu mkubwa matokeo amepata negative ila wamemzuia kuondoka leo bila kutoa gharama ya kuwepo karantini ambayo kaambiwa ni laki 3.5 wakampunguzia mpaka laki 2, wakati anaenda kupima Corona alizani ni bure na pia yeye akutaka kubaki hapo karantini ila alilazimishwa na daktari je mwenye kujua kuhusu hili imekaaje? atuambie
Hao siyo matapeli kweli? Kipimo kilichukuwa siku moja? Mhn! Sounds fishyJana ndugu yangu alienda kupima Corona baada ya kupimwa akataka aondoke baada ya kumaliza kupimwa akaambiwa akae kwanza karantini mpaka kesho yake na majibu atapewa hiyo kesho.
Na Mungu mkubwa matokeo amepata negative ila wamemzuia kuondoka leo bila kutoa gharama ya kuwepo karantini ambayo kaambiwa ni laki 3.5 wakampunguzia mpaka laki 2, wakati anaenda kupima Corona alizani ni bure na pia yeye akutaka kubaki hapo karantini ila alilazimishwa na daktari je mwenye kujua kuhusu hili imekaaje? atuambie
Elezea vizuri watu waelewe ndugu. Alikuwa nje ya nchi? Alienda kupima wapi? Alikuwa anaumwa ndiyo akaenda? Karantini aliwekwa wapi?Jana ndugu yangu alienda kupima Corona baada ya kupimwa akataka aondoke baada ya kumaliza kupimwa akaambiwa akae kwanza karantini mpaka kesho yake na majibu atapewa hiyo kesho.
Na Mungu mkubwa matokeo amepata negative ila wamemzuia kuondoka leo bila kutoa gharama ya kuwepo karantini ambayo kaambiwa ni laki 3.5 wakampunguzia mpaka laki 2, wakati anaenda kupima Corona alizani ni bure na pia yeye akutaka kubaki hapo karantini ila alilazimishwa na daktari je mwenye kujua kuhusu hili imekaaje? atuambie
Hiyo hospital ni ya private kwa namna alivyoniambia ila mazungumzo yetu nilipomuuliza hiyo hospital inaitwaje simu yangu ikaisha chaji ikazimika.Alipimiwa wapi?
Amandla..
Na mpaka sasa hivi haijawaka?Hiyo hospital ni ya private kwa namna alivyoniambia ila mazungumzo yetu nilipomuuliza hiyo hospital inaitwaje simu yangu ikaisha chaji ikazimika.
Kweli hili ni igizo.Hiyo hospital ni ya private kwa namna alivyoniambia ila mazungumzo yetu nilipomuuliza hiyo hospital inaitwaje simu yangu ikaisha chaji ikazimika.
Mkuu Usio na Hatia Mtegemea, jibu maswali haya usaidiweJana ndugu yangu alienda kupima Corona baada ya kupimwa akataka aondoke baada ya kumaliza kupimwa akaambiwa akae kwanza karantini mpaka kesho yake na majibu atapewa hiyo kesho.
Na Mungu mkubwa matokeo amepata negative ila wamemzuia kuondoka leo bila kutoa gharama ya kuwepo karantini ambayo kaambiwa ni laki 3.5 wakampunguzia mpaka laki 2, wakati anaenda kupima Corona alizani ni bure na pia yeye akutaka kubaki hapo karantini ila alilazimishwa na daktari je mwenye kujua kuhusu hili imekaaje? atuambie
PElezea vizuri watu waelewe ndugu. Alikuwa nje ya nchi? Alienda kupima wapi? Alikuwa anaumwa ndiyo akaenda? Karantini aliwekwa wapi?
Yupo hapa hapa bongo na kapima hapa hapa bongo alikuwa amehisi ana dalili za Corona ndo akaenda kupima ila kapatikana negative.Elezea vizuri watu waelewe ndugu. Alikuwa nje ya nchi? Alienda kupima wapi? Alikuwa anaumwa ndiyo akaenda? Karantini aliwekwa wapi?
Tmj mikocheni.Alipimiwa wapi?
Amandla..
TMJ hawana cha bure. Ni kama mtu ujipeleke Aga Khan bila kitu mfukoni.Tmj mikocheni.
Kwahiyo inabidi alipe hiyo laki 2 yao? Mbona hela ni kubwa Sana kwa siku mojaTMJ hawana cha bure. Ni kama mtu ujipeleke Aga Khan bila kitu mfukoni.
Amandla....
Hiyo hospital ni ya private kwa namna alivyoniambia ila mazungumzo yetu nilipomuuliza hiyo hospital inaitwaje simu yangu ikaisha chaji ikazimika.
Mkuu ukienda Serena Hotel usitegemee utanunua chai kwa shilingi 500. Inabidi ajipigepige ila siku nyingine aende Mwananyamala.Kwahiyo inabidi alipe hiyo laki 2 yao? Mbona hela ni kubwa Sana kwa siku moja
Niende kufanya Nini?Mleta mada wewe hukwenda kule kwenye isolation ya ofisi?
Hiyo hospital ni ya private kwa namna alivyoniambia ila mazungumzo yetu nilipomuuliza hiyo hospital inaitwaje simu yangu ikaisha chaji ikazimika.
Ameniambia ni hospital ya Tmj mikocheni.
Karantini ni aina mpya ya kupiga pesa hapa nchiniJana ndugu yangu alienda kupima Corona baada ya kupimwa akataka aondoke baada ya kumaliza kupimwa akaambiwa akae kwanza karantini mpaka kesho yake na majibu atapewa hiyo kesho.