Naombeni msaada kurudi bongo

Naombeni msaada kurudi bongo

Habari wana jf.
Mimi ni mbongo ambaye nipo ughaibuni tangu 1992 na sijawahi kurudi bongo. Nilikuja huku kutafuta maisha na kusoma, lakini kutokana na gharama za maisha na gharama za elimu sikuweza kusoma. Sasa nina miaka 51 na natamani kurudi bongo.q Elimu yangu ni ya form 4 ya pugu secondari 1988. Benki nina dola 1800 tuu. Jee naweza kurudi bongo na kuishi comfortably? Yaani kunywa maziwa, kulala pazuri, kutotumia madaradara kwa usafiri, kula chakula nzuri (siyo kula nafaka).
Kuna fursa gani huko kwa wazee kama mimi?
Naombeni msaada wenu
Usirudi. Ishi huko mpaka ufikie umri wa kustaafu. Posho ya huko ya kustaafu ya kila wiki (au mwezi) itakufanya uishi maisha mazuri Tanzania au huko.

Fata kanuni za Wahindi, maisha popote. Usikazanie kurudi huku.
 
Apambane apate japo $6000 hivi akiludi anunue ist afanye uber atapata hela ya kuanzia kuishi mjini
Kama kwa miaka 26 amekusanya dola 1,800 sawa ni dola 70 kwa mwaka. Hadi afikishe dola 6,000. Kwa mantiki io itabidi aikusanye kwa miaka kama 52,jumlisha umri alionao....
 
Habari wana jf.
Mimi ni mbongo ambaye nipo ughaibuni tangu 1992 na sijawahi kurudi bongo. Nilikuja huku kutafuta maisha na kusoma, lakini kutokana na gharama za maisha na gharama za elimu sikuweza kusoma. Sasa nina miaka 51 na natamani kurudi bongo. Elimu yangu ni ya form 4 ya pugu secondari 1988. Benki nina dola 1800 tuu. Jee naweza kurudi bongo na kuishi comfortably? Yaani kunywa maziwa, kulala pazuri, kutotumia madaradara kwa usafiri, kula chakula nzuri (siyo kula nafaka).
Kuna fursa gani huko kwa wazee kama mimi?
Naombeni msaada wenu
Miaka 51 umeisha poteza(ukirudi bongo) agemate wako wana hesabu miezi tuu wakajichukulie 25% ya mafao yao......bakia huko huko tuu.
 
Write your reply...
upo nchi gani mtani? mm nipo ujerumani ila wiki hi nipo hapa jirani Austria
 
Ukirudi bongo unakaa miezi 6 tu unakufa
Changamoto za bongo
1.Ccm
2.watuwasio julikana
3.kunamtu anaitwa jiwe
4.kuna mariyamungu aka Bashite

Huko uraya kilasiku habari za science sijui NASA leo wanarusha roketi
huku Tz mambo tofaut Kila siku utasikia kwenye habari watoto hawana madawati

kijiji furani kimekubwa na njaa mala hoo mutaisoma number.

Usije usije usije usije usije.
 
Habari wana jf.
Mimi ni mbongo ambaye nipo ughaibuni tangu 1992 na sijawahi kurudi bongo. Nilikuja huku kutafuta maisha na kusoma, lakini kutokana na gharama za maisha na gharama za elimu sikuweza kusoma. Sasa nina miaka 51 na natamani kurudi bongo. Elimu yangu ni ya form 4 ya pugu secondari 1988. Benki nina dola 1800 tuu. Jee naweza kurudi bongo na kuishi comfortably? Yaani kunywa maziwa, kulala pazuri, kutotumia madaradara kwa usafiri, kula chakula nzuri (siyo kula nafaka).
Kuna fursa gani huko kwa wazee kama mimi?
Naombeni msaada wenu
Acha kutuabisha mkuu!kwa kwa wiki tu mtu unapata 500usd,wewe utakuwa Malawi bila shaka
 
Njoo uchukue kadi ya chama uunge mkono juhudi za mtukufu unaweza ukapata vi buku 7 kwa siku
 
Umeishi mamtoni miaka mingi zaidi ya uliyoishi Bongo! Unajaribu kui convert hiyo USD 1800 kwa miaka hiyo ya 1990’s na inaonekana hukuwa na mawasiliano na ndugu uliowaacha huku home! Njoo tubanane hapa hapa, utafanikiwa tu. Ukikomaa hutashindwa kupata hela ya mahitaji yako ya kila siku.
 
Acha kutuabisha mkuu!kwa kwa wiki tu mtu unapata 500usd,wewe utakuwa Malawi bila shaka
Ukishapata usd 500 kwa wiki, ukishalipa tax? Na ukishalipa medicare insurance? car insurance? childcare? pocket money ya watoto? leisure activities za watoto? kula chakula kizuri? kunabaki usd ngapi?
au unataka niishi nakula nafaka nisave pesa? kama hujui maisha ya huku siyo lazima useme lolote.
 
25% ya faida ya uwekezaji nitakupatia na 75% nitakuwa nakupatia kidogo kidogo mpaka mwisho wako. Njoo tu usalama wa kutosha pia gharama za vyakula zipo chini sana utajuta kuchelewa kurudi bongo.
Karibu sana
 
Habari wana jf.
Mimi ni mbongo ambaye nipo ughaibuni tangu 1992 na sijawahi kurudi bongo. Nilikuja huku kutafuta maisha na kusoma, lakini kutokana na gharama za maisha na gharama za elimu sikuweza kusoma. Sasa nina miaka 51 na natamani kurudi bongo. Elimu yangu ni ya form 4 ya pugu secondari 1988. Benki nina dola 1800 tuu. Jee naweza kurudi bongo na kuishi comfortably? Yaani kunywa maziwa, kulala pazuri, kutotumia madaradara kwa usafiri, kula chakula nzuri (siyo kula nafaka).
Kuna fursa gani huko kwa wazee kama mimi?
Naombeni msaada wenu

Ufanye hivyo vyote kwa $1800?
 
Nimekuelewa ndugu,Ila kulala nje duuuhhhh kama alikua anakumbuka ndugu zake am sure kuna watakaombeba 100% especially wakieelewa situation yake....anyway hapa tunafanya brain storming yeye atafanya au kuchukua ushauri unaomfaa
Maisha ni popote, aje tu kwani nini kipya kitamtokea? Umasikini upo na hautaisha,magonjwa yapo na hayataisha, na mwisho wote tutakutana na umauti, bila kujali ulikuwa tajiri au masikini. Maisha hayana formula, lakini inaonekana mwenzetu anataka apewe formular ya kuja kuishi Bongo hii hahaha, atasubiri sana. Njoo mwenzetu Nyumbani kumenoga.
 
Mzee baba hebu kaza kaza at least 3 yrs upate 25000 USD hapo unaweza pata unachotaka kwa mji kama Arusha ntakuongoza
 
Usirudi. Ishi huko mpaka ufikie umri wa kustaafu. Posho ya huko ya kustaafu ya kila wiki (au mwezi) itakufanya uishi maisha mazuri Tanzania au huko.

Fata kanuni za Wahindi, maisha popote. Usikazanie kurudi huku.
Hahaha dada, huyo yeye anataka KURUDI, wewe unamshauri ASIRUDI. Inaonekana fursa aliyokuwa nayo inaishia ukingoni, sasa anaanza kuwaza kurudi ALIKOTOKA. Labda kazi anayofanya haina hizo benefits, Maana nasikia nchi hizo za ughaibuni zinapambana na wahamiaji haramu, wale illegal, wasio na vibali vya kuishi huko kihalali. Je, ikiwa ni miongoni mwa hao, Still atapata hizo benefits au bora arudi nyumbani kama alivyoomba kushauriwa nama ya ku survive hapa kwetu.
 
Ukishapata usd 500 kwa wiki, ukishalipa tax? Na ukishalipa medicare insurance? car insurance? childcare? pocket money ya watoto? leisure activities za watoto? kula chakula kizuri? kunabaki usd ngapi?
au unataka niishi nakula nafaka nisave pesa? kama hujui maisha ya huku siyo lazima useme lolote.
Ukila nafaka utakufa?
Huku matajiri hizo nafaka ndiyo chakula chao kikuu.
Halafu Tanzania usipokula wali,ugali utakula Nini!
Sikiliza old Pugu boy huna hela ya kuacha kula nafaka hiyo hela yako ukija nayo huku utapata nayo shida tu.
 
Oooh!! My friend!are you serous about $1800?I try to ask you in English language..
If yes, I will advise you something..
 
Back
Top Bottom