Naombeni msaada kurudi bongo

Naombeni msaada kurudi bongo

Mwenzio tibaijuka alitumia $5000+ kwaajili ya mboga sasa nikuulize ndugu mleta maada wewe unataka kula ugali mkavu?
 
mimi siogopi maisha nyie vyura, acheni hasira zenu na kunitisha na maisha.
Mwezi February mwaka kesho narudi bongo na pesa hii hii na nitaishi tu.
Na pia mademu wenu nitawagonga.
Teh teh...Mzee vipi usharudi?..Nataka demu wangu nianze kumfungia ndani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Le Mutuz na yeye alirudi Bongo akiwa na umri around na huo na hivi sasa nasikia yeye ndo King of Social Networks! Sasa wewe ukitua Bongo itabidi ufungue Instagram Account na ujiite Zee la Mastory Ya Mbele! Au nikukopeshe jina langu nililokuwa natumia miaka hiyo, enzi hizo kabla ya JF... Mr. Experience, na stori zangu za kuuza Tanzanite wakati hata Arusha kwenyewe sikujui!

Dah! Ujana raha sana!!
HAKI YA MUNGU 😂😂😂😂 NIMEONGEZA SIKU
 
Dah, mzee wa 51yrs unarudi home na $1800? Zaidi ya hiyo $ una assets zingine TZ?

Familia je unayo?
 
Back
Top Bottom