Kwa miaka yako wewe rudi...utaolewa hata mwezi haupiti.
Wangapi humu mliopo Tz mna savings 4.4m kwenye akaunti zenu? Ndugu yangu maisha kama yamekushinda huko rudi Tu. Akili yako na afya njema vinatosha kufanikiwa.
Nirudishie thatsit basi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umenichekesha mnooo yaani sina hofu mume umeniandalia tyr
Asante Mkuu kwa kunielewesha asee. Thank you.Kufanya kazi za kibarua ukiwa ughaibuni kwenye mabohari viwandani, kwenye ujenzi na kwingine kwaitwa kupiga boksi.
Kwenye mabohari kama Amazon, unakuwa na ujuzi wote wa kutumia mitambo ya kisasa ya aina zote, khasa chombo cha forklift ambacho ni lazima uwe mtaalam wa "counter balance".
Kuna vyombo vingine kama scissor lift, Gennie na spider crane ambazo hutakiwa kutumia akili kuviendesha.
Fikia kwangu. Nitakuhudumia kwa vyote.[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]haah natak nirudi bongo na mimi sina sent tano lkn
Fikia kwangu. Nitakuhudumia kwa vyote.
Basi atajifufua mwenyewehata sijui yuko wapi kiukweli
Una imani sana, inaonyesha wewe ni sawa na pepo hapa ulimwenguni. Mungu akubarikiFikia kwangu. Nitakuhudumia kwa vyote.
Amina sana[emoji2] ...Ila nimempa Ofa huyo Dada hapo juu[emoji2] [emoji2] [emoji2]Una imani sana, inaonyesha wewe ni sawa na pepo hapa ulimwenguni. Mungu akubariki
kwa hadhi yako hiyo fweza ndogo mno kukuhongaHahahaha
Kwa kweli, hafai hata
Usihofu Totooo[emoji2][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]