Naombeni msaada kurudi bongo

Naombeni msaada kurudi bongo

Sikati vitunguu wala maboxi. Naendesha mabasi ya mjini. Kama UDA ya zamani.
Basi baki huko huko maana kuna unafuu wa maisha. Labda utuambie unataka kufa mapema ila umegundua mbinu ni kufanya hayo
 
Tukiwa Eneo Moja Kanda Ya Kati
Tulikuwa Tunaambiwa Rudi Nyumbani
Ukikaa Sana Ugenini Unaweza Kumulikwa Torch
 
Dar karibu sana Bongo hyo 1500 mbona ndogo. Ila bora urudi tu nyumbani uanze upya ungejuaga ungerudi ukiwa na nguvu. Sisi wenyewe twapambana kibishi bishi maisha yakaendelea.
Hata 51 sio mbaya... kama alijitunza vizuri na akanusurika na maradhi, 51 mtu anakuwa na nguvu za kutosha!

Mkuu Anithape, aidha sasa or never manake, kama akiba yenyewe ndo hiyo, ina maana unakuja bila pesa ya kuanzia na kwa maana nyingine mtaji wako ni nguvu na akili zako! Kwa umri ulionao sina shaka bado una nguvu za kutoka na akili inachemka na kwahiyo unaweza kufanya jambo!
 
Huyu bora arudi nyumbani tu na vile amekaa dunia ya kwanza amejifunza mengi akija kutumia kiakili anatoboza tu vzuri Bila shida yoyote kabisa. Kuliko aendelee kuishi kwa tabu
Hata 51 sio mbaya... kama alijitunza vizuri na akanusurika na maradhi, 51 mtu anakuwa na nguvu za kutosha!

Mkuu Anithape, aidha sasa or never manake, kama akiba yenyewe ndo hiyo, ina maana unakuja bila pesa ya kuanzia na kwa maana nyingine mtaji wako ni nguvu na akili zako! Kwa umri ulionao sina shaka bado una nguvu za kutoka na akili inachemka na kwahiyo unaweza kufanya jambo!
 
Ndugu wana JF wengine tukoje, huyu ndugu kaomba msaada wa mawazo, na katueleza ukweli wake, mbona wengine tunamjibu visivyo.

Heshima ni kitu cha bure
 
Pole sana,inadepend una mawazo gani na hizo 1800 Ila ni ndogo sikushauri
 
Habari wana jf.
Mimi ni mbongo ambaye nipo ughaibuni tangu 1992 na sijawahi kurudi bongo. Nilikuja huku kutafuta maisha na kusoma, lakini kutokana na gharama za maisha na gharama za elimu sikuweza kusoma. Sasa nina miaka 51 na natamani kurudi bongo. Elimu yangu ni ya form 4 ya pugu secondari 1988. Benki nina dola 1800 tuu. Jee naweza kurudi bongo na kuishi comfortably? Yaani kunywa maziwa, kulala pazuri, kutotumia madaradara kwa usafiri, kula chakula nzuri (siyo kula nafaka).
Kuna fursa gani huko kwa wazee kama mimi?
Naombeni msaada wenu
Mi naweza kukushuri haya, kwanza tafuta Mara tatu hiyo 1800$D kisha ukirudi bongo usiende mjini nenda mikoa kama Ruvuma, Rukwa kafungue mashamba+ ufugaji kidogo hapo unaweza kuish. Karibu nyumbani
 
Duh pole mkuu, ina maana kila mwaka ulikuwa una sevu dola 69.23 tu. Kama tayari una nyumba bongo na miradi mingine ambayo tayari inakuingizia hela hapo unaweza kurudi, vinginevyo komaa ughaibuni.
 
Habari wana jf.
Mimi ni mbongo ambaye nipo ughaibuni tangu 1992 na sijawahi kurudi bongo. Nilikuja huku kutafuta maisha na kusoma, lakini kutokana na gharama za maisha na gharama za elimu sikuweza kusoma. Sasa nina miaka 51 na natamani kurudi bongo. Elimu yangu ni ya form 4 ya pugu secondari 1988. Benki nina dola 1800 tuu. Jee naweza kurudi bongo na kuishi comfortably? Yaani kunywa maziwa, kulala pazuri, kutotumia madaradara kwa usafiri, kula chakula nzuri (siyo kula nafaka).
Kuna fursa gani huko kwa wazee kama mimi?
Naombeni msaada wenu
Wewe utakuwa mchawi unaloga wenzako.
 
Dar karibu sana Bongo hyo 1500 mbona ndogo. Ila bora urudi tu nyumbani uanze upya ungejuaga ungerudi ukiwa na nguvu. Sisi wenyewe twapambana kibishi bishi maisha yakaendelea.
NYUMBANI KWAKO NI MAHALI POPOTE PALE UNAPO LALA NA KUAMKA, ASUBUHI UNAPATA BREAKFAST, MCHANA - SUPPER , JIONI -DINNER , KOMAA HUKO HUKO
 
Ukiweza pambana tafuta usd 15000 kisha rudi ukishindwa kabisa usikose usd 10000
 
Sip 18000 ni 1800 jamani hata nashindwa elewa alikuwa anafanya kazi gani huko na yaonesha alikuwa mtu wa starehe sana sio siri imagine kama.msichana wa kazi za ndani anakaa miaka miwili na akirudi anarudi na ana kiwanja why yeye jamani''
Kwa miaka uliyokaa huko kwa mwezi ulikuwa una-save dola ngapi ndio mpk leo ziwe 18000. Bora ubaki tu hukohuko uendelee kupambana tu la sivyo utakuja kuokota machupa ya palstick huku
 
Back
Top Bottom