Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,475
- 33,038
Sawa unavyomshauri, lakini marafiki wangapi watambeba kwa 100% yeye pesa yake awekeze yote?! Kumbuka anayo $1800 tu!, anamahitaji ya nauli ya mizinguko yake na mambo yake binafsi. Ni ngumu kumpata, ingawa ndugu wanaweza kujaribu, kumu accomodate but won't be 100%. Kunagharama atazibeba mwenyewe. Hata chinga huja kutoka mtwara, bila ndugu Dar na wanafanikiwa, hata akilala nje kwa muda, he will make it, he should be able to handle difficulties like wengine.
Nimekuelewa ndugu,Ila kulala nje duuuhhhh kama alikua anakumbuka ndugu zake am sure kuna watakaombeba 100% especially wakieelewa situation yake....anyway hapa tunafanya brain storming yeye atafanya au kuchukua ushauri unaomfaa
Daah! Mpe ushauri na uzoefu mwenzio.