Una imani kama mkweli, mungu akubariki na akupe uwezo wa mali, akili na utuAmina sana...Ila nimempa Ofa huyo Dada hapo juu
![]()
![]()
![]()
Una imani kama mkweli, mungu akubariki na akupe uwezo wa mali, akili na utuAmina sana...Ila nimempa Ofa huyo Dada hapo juu
![]()
![]()
![]()
Hahahahkwa hadhi yako hiyo fweza ndogo mno kukuhonga
Basi atajifufua mwenyewe
siku umenitupa kabisaHahahah
Jamaniiii, ajitahidi
Kumwona ndiyo shida kubwa...ngoja nitakuwa namtag kil post vip una shida nae
Kumwona ndiyo shida kubwa...
hebu niambie tunaanza kumtafuta huku nilipo
Nishakupa kazi basi ianze.hebu niambie tunaanza kumtafuta huku nilipo
afu wewe!
Nishakupa kazi basi ianze.
miss u kakaa
Sijui haya nilikukwaza nnmiss u kakaa
HaaaaaMkuu, tulia tu huko huko na hizo dola buku na mianane zako, maisha yamebadilika sana sana mambo yanaenda kasi sana tangu 1992, wewe endelea kukata vitunguu na kubeba mabox huko, game ya TZ ni mziki mwingine.
mweeeMkuu angekua na dola 18000 angetamba yeye ana dola 1800 ha ha ha ha ha ha nimecheka analudi na kiingereza tu na begi lakeKwa miaka uliyokaa huko kwa mwezi ulikuwa una-save dola ngapi ndio mpk leo ziwe 18000. Bora ubaki tu hukohuko uendelee kupambana tu la sivyo utakuja kuokota machupa ya palstick huku
Mkuu, tulia tu huko huko na hizo dola buku na mianane zako, maisha yamebadilika sana sana mambo yanaenda kasi sana tangu 1992, wewe endelea kukata vitunguu na kubeba mabox huko, game ya TZ ni mziki mwingine.














































































Mkuu angekua na dola 18000 angetamba yeye ana dola 1800 ha ha ha ha ha ha nimecheka analudi na kiingereza tu na begi lake
Kama kwa miaka 26 amekusanya dola 1,800 sawa ni dola 70 kwa mwaka. Hadi afikishe dola 6,000. Kwa mantiki io itabidi aikusanye kwa miaka kama 52,jumlisha umri alionao....Apambane apate japo $6000 hivi akiludi anunue ist afanye uber atapata hela ya kuanzia kuishi mjini