mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,098
- 9,999
Wakuu Mimi Ni Mwana Chuo Pale Mlimani, Nina Mengi Ya Kuandika Hapa Hapata Tosha In Short Nakaa Kibaha Kila Siku Naingia Saanane Usiku Nikitokea Chuo. Napata Shida Saana, Naombeni Kama Kuna Mwanachuo Anaeweza Kunibeba Anipe Msaada Huo, Ntashukuru Jamani! Nimechoka!