Naombeni ''mnibebe" UDSM

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Sep 11, 2013
4,496
2,000
Wakuu Mimi Ni Mwana Chuo Pale Mlimani, Nina Mengi Ya Kuandika Hapa Hapata Tosha In Short Nakaa Kibaha Kila Siku Naingia Saanane Usiku Nikitokea Chuo. Napata Shida Saana, Naombeni Kama Kuna Mwanachuo Anaeweza Kunibeba Anipe Msaada Huo, Ntashukuru Jamani! Nimechoka!
 
Excel

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
18,932
2,000
Hivi kweli gharama za kutoka na kwenda kibaha kila siku hazitoshi kweli kuishi hostel za nje tofauti na mabibo hostel kaka?

Mbona kuna hostel kibao pale sahara kwa gharama ya tshs elfu 40 kwa mwezi?

Huwezi ishi hapo kwa hiyo gharama kweli?

Mi naona gharama ya kwenda na kurudi kibaha ni nzito kuliko ungeishi hapo!

Wakuu Mimi Ni Mwana Chuo Pale Mlimani, Nina Mengi Ya Kuandika Hapa Hapata Tosha In Short Nakaa Kibaha Kila Siku Naingia Saanane Usiku Nikitokea Chuo. Napata Shida Saana, Naombeni Kama Kuna Mwanachuo Anaeweza Kunibeba Anipe Msaada Huo, Ntashukuru Jamani! Nimechoka!
 
B'REAL

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
3,930
2,000
Unapenda ubwete....kuteleza kwenye mlenda au ganda la ndizi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom